Kwa WANAUME unapenda mwanamke wa aina gani?

Umeona eh yani unaanzaje kwanza kupenda tomboy hata mimi ningekuwa mwanaume nisingependa mwanamke wa aina hiyo, hawa waongo huwa wanataka tu kuonekana kwamba wamefanikiwa kupita hadi na wanawake wagumu ila si kwamba wanawapenda maana tomboys wengi huwa wanaplay hard to get, kwahiyo wao wanataka tu kuonekana vidume kwa kufanikiwa kuwapata na ndio maana hata ikitokea wakawapenda kweli basi watafanya juu chini wabadilike wawe na haiba ya kike
Ila mwanangu huwa una majibu konki🤣🤣
 
min -me anajifariji ni watamu 😆
 
Mdada wa hivi mzuri sana ukiwa nae stories haziishi , sio unakaa na mdada unatoka kuchepuka anakuuliza umetokea wapi una mwambia nilikua na kikao na Alex fagason anakuambia pole na kazi beibiiii😅
Duuh kwamba unapenda wanawake wajuaji, maana si huwa mnasema mnapenda wanawake wa aina hiyo wale wa kila kitu ndio, aise hata mimi ningekuwa mwanaume nisingependa mwanamke kama mimi so nakushangaa wewe
 
What the hell bob, 🙄 😂😂
 
Back
Top Bottom