Simtank ya Lake Plastics ni bora?

Simtank ya Lake Plastics ni bora?

Sim tank ndiyo tank imara hata bei yake ipo juu kidogo. Hayo mengine ni kawaida tu. Sim tank nao Wana brand kama mbili hivi. Hivyo tambua kwamba hakuna sim tank ya lake. Hiyo ni tank ya lake. Simtank ni kampuni inayojitegemea kama ilivyo lake.
 
Tanzania tunachanganya sana mambo...Kuna tangazo nalisikia Efm linaelekeza hilo eneo "LIPO KARIBU NA SHELI YA LAKE OIL"...Nikisikia huwa najiuliza yaani na wao hawajastukia kama wanakosea?

Mtoa mada naye hajajua pia ,anasisitiza anataka SIMTANK YA LAKE PLASTICS 😉😉

Ndiyo yale yale unaenda dukani unaagiza kalamu unasema nipe BIC ya SPEEDO ,au nipe BIG G lakini ukiangalia chata siyo ya BIG G ina chata ya GOMBA/BOMBA ,unaenda dukani unasema nipe Pampers za Softcare.
 
Kuna maelezo hayakatolewa vya kutosha na ndiyo muhimu kwa hili tangazo. Jee inakuwaje hayo matenki ya Lake yasitunze fungus na Bakteria wakati mengine yanatunza.

Hayo matenki yametumia nini hadi yazuie fungus na uwepo wa Bakteria kwenye maji?
 
Back
Top Bottom