Recent content by ikamba1

  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kutongozwa ni lazima, tunawashangaa wanaotoa majibu ya matusi

    Hhh....pole sana......wanaojibu hivyo wengi wao ni malimbukeni..mwanamke anayejielewa hawezi jibu hivyo.....
  2. I

    JamiiForums Tanzania Zari white party

    Mond binladen...daah...kijana anafauduu....
  3. I

    JamiiForums Tanzania Masafa ya Redio za FM, Dar es Salaam!

    Aksante
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nauza till (line) ya Tigopesa

    Habari Wajasiriamali wenzangu! Nauza till ya Tigopesa, nilikuwa naitumia kwa biashara zangu ila kwa sasa nimeamua kubadili biashara. Aliye serious ani-pm. Nipo Dar es salaam. Karibuni sana.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Nauza till (line) ya tigo pesa

    Habari wajasiriamali wenzangu...nauza till ya tigo pesa.....nilikuwa naitumia kwa biashara zangu ila kwa sasa nimeamua kubadili biashara ...aliye serious ani pm........nipo dar es salaam.. Karibuni sana
  6. I

    JamiiForums Tanzania Chezea mabinti wa mjini wewe, utabaki mtupu

    hahaaaa....mwambie muwe mnakutana kwao basi..ule wewe kwao
  7. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutongoza

    hahaahhaas......we mkalii...umemlia timing balaa
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa sasatel

    Habari za muda huu waungwana...naomba kujuzwa...huu mtandao bado upo?..nina simu ya mezani ya sasatel sijaitumia muda..nimeiwasha naona imeandika NO SERVICE....Kama haipo je simu hyo inafaa ku unlock? asanteni..nawasilisha
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nimenyeshewa na mvua ya hela....

    mmmhh......shooting ya video....location
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kiatu kinauzwa timberland

    ondoa h mtaalam....ukipenda....inafunguka.....hapo sawa au umekasirika ?
  11. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu msichana vipi?

    pole sana...golden chance never come twice
  12. I

    JamiiForums Tanzania The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

    tupo wengi mzee..hata mimi nilipenda sana.... confidence ya belchek
  13. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anatafuta mume

    weka cv yake
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kijana leo umeyateka Magazeti yote huko.

    amejipanga? .......ma bigpopa wanamuangalia tu....ngoja tusubiri na wengi waseme
Back
Top Bottom