bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,697
- 4,107
Kama hujapata mabadiliko ya masafa ya Redio za FM hapa Dar es Salaam hizi ni frequency mpya za radio:
JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
TAARIFA KWA UMMAKwa mujibu wa kifungu 72 (1) cha sheria ya Mawasiliano ya Electronic na Posta ya mwaka 2010, na kanuni zake za udhibiti wa masafa ya radio za mwaka 2012, Mamlaka ya Mawasiliano iliendesha zoezi la upangaji upya wa masafa ya utangazaji kwa vituo vyote vya Radio vinavyorusha matangazo yake mkoa wa Dar es Salaam.
MABADILIKO YA MASAFA YA UTANGAZAJI KWA VITUO VYA FM RADIO VYA MKOA WA DAR ES ALAAM
Mamlaka ya Mawasiliano ilifanya mashauriano na uongozi wa vituo hivi ili kuridhia masafa mapya yaliyopangwa kwa kila kituo.Nia ya upangaji upya wa masafa ya Radio ni kuhakikisha matumizi bora ya masafa mkoa wa huu ambapo mahitaji yake yamekuwa yakiongezeka.
Kwa taarifa hii wananchi wote wanataarifiwa kuwa ifikapo saa sita usiku, tarehe 22.12.2012 vituo vyote vya utangazaji vya Dare salaam vitaanza kutangaza kwenye masafa mapya kama inavyoonyeshwa kwenye jedwali hapo chini;
S/N Station Name Current New frequency Frequency (MHz) (MHz) 1 TBC TAIFA 92.3 87.5 2 EAST AFRICA RADIO 87.8 88.1 3 CLOUDS FM 88.4 88.5 4 KISSI FM 89.0 89.3 5 RADIO ONE 89.5 89.7 6 TBC FM
94.6 90.0 7 CITY FM RADIO 91.3 91.7 8 MAGIC FM 92.9 92.9 9 SIBUKA FM 94.0 94.5 10 TBC INTERNATIONAL 90.0 95.3 11 RADIO UHURU 95.2 95.7 12 PASSION FM 95.8 96.1 13 RADIO TUMAINI 96.3 96.5 14 WAPO FM 98.0 98.1 15 RADIO FREE AFRICA 98.6 98.9 16 PRAISE POWER 99.2 99.3
17
TIMES FM 100.5 100.5 18 CAPITAL FM 101.4 101.3 19 CHOICE FM 102.6 102.5 20 CLASSIC FM 103.1 103.3 21 RADIO MARIA 103.5 103.7 22 RADIO KHERI 104.1 104.1 23 RADIO IMAAN 104.4 104.5 24 MORNING STAR 105.3 105.3 25 RADIO TUMAINI INTERNATIONAL 105.9 105.7 26 MLIMANI RADIO 106.5 106.5 27 UPENDO RADIO 107.7 107.7 28 RADIO SAUTI YA QURAN 102.0 102.