Chebe17
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 275
- 67
Finished watching the 1st episode
Kwa anayetaka DVD ORIGINAL za 24hrs Season zote aniambie. Na tuelewane bei. Ila hii ya mwisho ndio kwa inaendelea kwenye Tv.
Finished watching the 1st episode
Haaha, download uangalie kwa raha zako. Imefika episode ya 11 jana.
Sor mkuuu nipe link ya kuweza download 24 aseee
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
Mkuu bora umess up na Mkuu wa usalama, lakini si Jack shauri yako:wacko::flame:
Hahahahaaa., hapa niliparudia kama mara kumi hivi., kuna watu wanajua kuigiza jamani.
Hapo Prezdaa akaona hapa naongea na :majani7: tuu
Kwa anae taka na anaishi Dar es salaam waweza nitafuta nakupa Bure kabisa uje na flash disk yako tu.
24, under the dome, revolution, arrows zote hizo waweza pata na kila jumanne ukiweza nitafute nikupe 24 iliyotoka siku hiyo
Dar sehem gan isiwe Getto lakin...
Sent from my iPhone
24season 9.
Sent from my iPhone
Nataka 24 nipo dsm tegeta mkuu
Kwa anae taka na anaishi Dar es salaam waweza nitafuta nakupa Bure kabisa uje na flash disk yako tu.
24, under the dome, revolution, arrows zote hizo waweza pata na kila jumanne ukiweza nitafute nikupe 24 iliyotoka siku hiyo
Ya wiki hii sijapata bahati ya kuiona
Dar sehem gan isiwe Getto lakin...
Sent from my iPhone
Dar es salaam.
Posta
Uhuru Heights iko baada ya mahakama ya kisutu
Njoo na flash au kifaa kitachoweza kuchukua.
Siku za JTatu-Ijumaa.
Jumamosi-Jumapili sipatikani
dah.......kiongozi hizo nyingine tofauti na 24 nazihitaji sana.
Nataka 24 nipo dsm tegeta mkuu
Ninazo, Hostages yote,Revolution 1 & 2.
Blacklist, Arrows 1 & 2
24 season 9 hadi 11
Under the dome 1 & 2 episod 1
Gang related hadi ilipofikia ijumaa iliyopita.
Nyingine nimezisahau hadi nikiwa na Laptop