Hivi huto tudude ukitufunga kwenye mtumbwi kisha ukawa mbali na nchi kavu ambapo tu hata simu ya nokia haipati mawasiliano unaweza jua chombo chako kilipo
Maji kupungua kwa ziwa victoria kulitokea mwaka 2006 ule ukame uliathiri ghuba ya speak yote kiasi kwamba boat ama mtumbwi wa kivuvi ulikuwa unakwama kwa zaidi ya 500 mita kutoka ulipokuwa unakwamia 2004. Lakini hali ilianza kuwa sawa kwa mwaka 2008 na kuendelea. Kuna watu walikuwa wanatoka...
Haya ukerewe na bwilo kisiwani pamejitenga hata miaka 80 haijaisha. Kwa hiki kipindi cha miaka chini ya mia kuna visiwa vingi tu vimemezwa na ziwa na kuna sehemu kubwa ya nchi kavu imemezwa huku sehemu nyingine yenye miinuko ikiachwa kama visiwa. Sasa ukiangalia mabadiliko tu ya ziwa victoria ya...
Kuna mzee flani nilipiga nae story akaniambia kisiwa cha nyamesiga kule bukoba kilikuwa nchi kavu miaka ya 1957 tu hapa. Na yalikuwa mashamba ya watu. Hata hilo jina nyabesiga nilakihaya na linamaana ya palipobaki. Enye kubaki) na alisema watu wazima walienda misira kwa miguu huku maji yakiwa...
Kwa mtazamo wangu naona hili ziwa lilishawahi kuwa dogo kuliko lilivyo leo pia lilishawahi kuwa kubwa kuliko lilivyo leo. Nilishaongea na wazee wengi kidogo kuhusu ziwa hili ndo maana nasema hivyo
Kuhusu maisha ya misiri sijui ila maisha ya miji na vijiji vilivyojirani na ziwa victoria vyote vitamezwa na maji ndani ya mwaka tu. Kama watafunga huo muto basi miezi 12 utakutana na meli kisesa na igoma. Barabara ya musoma yote itakuwa majini na mwaloni itakuwa misungwi na bariadi
Tanzania ni nchi nyepesi sana kuburuza watu. Yaani akina ester, ezekiel, emmanuel, evelyn, wako na mfumo unaofanana kitabia. Yaani akina jackline walivyo malaya uwalinganishe na akina janet kweli? Hebu ngoja kwanza. Yaani ashura umlinganishe na amina
Tatizo wabongo hatuhurumiani. Bidhaa ya mbongo inauzwa shilingi 5500 bidhaa hiyohiyo mchina anaiuza 1800. Unafanya kazi kwa mkandarasi mzawa unalipwa elfu 10 na malipo siyo ya wakati wakati kazi hiyohiyo kwa mchina ni 20000 kwa malipo ya wakati
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.