Enz za ujana wangu nilikuwa napenda sana kufanya iyo kitu, ila baada ya miaka mingi kupita nimejifunza mambo mengi sana yanayohusu mapenzi na afya....kifupi tu jambo hili ni hatari sana kwa afya ya wote mlambwaji na mlambaji maana mnajiweka kwenye hatar kubwa ya kupata magonjwa kama vile Fungus...
Serikali ingeanzisha biashara darasa ambapo vijana wangekuwa wanaomba nafasi za kujifunza ili kupata ujuzi kama ilivyo kwa kada nyingine za kiujuzi.
Hii itasaidia hata kwa vijana walio na urithi wa biashara kutoka kwa wazazi wao kuendeleza biashara zao vizuri kwa ujuzi.
Stress za kimaisha zinasababisha mashine nazo zinachoka ka gar bovu la kusukumwa ambalo likiwaka tu hakuna kuremba ni kukanyaga moto likazimikie mwisho wa safar ...
Cheti cha ndoa kinatolewa na serikali, ama mfunge ndoa bomani, msikitini ama kanisani. Kwa hiyo cheti cha ndoa cha kwanza ndo kinatambulika labda kuwe na talaka iliyovunja ndoa ya kwanza.
Badilisheni mazingira..wk end mkalale hotel ama pangeni safar mkoa mwengine ...mle vyakula vinavyosaidia kuongeza hamu na kutoa ukavu , bamia na nyanya chungu, tikiti maji, karanga na korosho. Kumbushaneni enzi za ujana wenu mlivyokuwa wa moto... Ukavu ukizidi nunueni vilainishi kwenye duka la...
Kwa Tanzania tunaogopa maiti kwa vile tunaishi kwa amani sana... Palestina, congo, syria uko unakuta mtu anajificha kwa kwa kujifunika maiti juu yake ili asiuwawe na yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.