Kilimbatzx
Senior Member
- Jul 31, 2025
- 188
- 221
Ipo ukurasa wa kwanzqMwenye picha ya katibu plz tufananishe
Ipo ukurasa wa kwanzqMwenye picha ya katibu plz tufananishe
Huyo Katibu na Masanja mboni wanafanana na mtoto wote, msiharibu Ndoa za watu mtoto ambae amefanana sana Baba yake ni huyo wa Kike tu
Aisee nimecheka sana 😀Hao boys ni katibu kabisa, hajaondoka kizembe, ameacha alama kwenye familia ya mtu
AiseeKatibu wa nini huyu? Unajua kabisa siku hizi watanzania wakisikia Rip wanaanza kutabasamu kabla hata ya kujua nani ame rip, nchi ipo pabaya sana hii.
Kwa hiyo ni wote?Hao boys ni katibu kabisa, hajaondoka kizembe, ameacha alama kwenye familia ya mtu
Katibu anamahusiano gani na Masanja na mke wake?Hao watoto karibu ni wa katibu
ukatili gani?ukatili huo
lini?baada ya kifo ndo akarudi
Huyo mwanamke alikuwa wa Katibu Masanja akapita naye kwa sababu ana mkwanja, so katibu na mama mchungaji wakaendelea na mahusiano yao kimya kimya ndio yanaleta hayo matundaKwa hiyo ni wote?
Ilikuwa lini?
Katibu anamahusiano gani na Masanja na mke wake?
ukatili gani?
lini?
Mkuu wewe mkorofi sanaaaa 😅😅😅
Nasikia yalikuwa makubaliano dogo akaanza kudai damu yakeKatibu alikuwa anajilia tu?
AiseeNasikia yalikuwa makubaliano dogo akaanza kudai damu yake
Inasemekana manabii wengi wanatakiwa kutoa sadaka zenye maumivu ili kupata Mali na umaarufuHaya makanisa ya kuzuka haya huwa yana masharti yake ili kupata.mvuto sasa inategemea mtu kachagua fungu lipi huwa ni siri yao kali sana ni wengi wanasema huwa wanawazuia wanaume kufanya tendo ila huwa kuna limnyama la ajabu ndio.hulala nae kwa hyo mke hapo ili kuondoa ushahidi anatumika anazaa na unaleo ila sirinsirini,sikumoja ya ajabu siri inavujaaa
AhaHuyo mwanamke alikuwa wa Katibu Masanja akapita naye kwa sababu ana mkwanja, so katibu na mama mchungaji wakaendelea na mahusiano yao kimya kimya ndio yanaleta hayo matunda