Mara nyingi kama hicho kitu kinahesabika(countable noun) ukitumia cha lazime umalizie che. Chandarua chenye dawa. Ila vitu kama chumvi ambavyo havihesabiki(uncountable noun) lazima utumie ye.. Chumvi yenye rangi nyeupe...
Habari wataalamu..
Nina swala moja muhimu chini ya meza... Kuna simu inaitwa iPhone ukitaka ku 'update' software unaweza ukatumia wi-fi kupitia simu au ukatumia iTunes.
Swali langu ni ile simu ambayo imekuwa iCloud locked uki update kwa kutumia iTunes pale muda wa ku activate inagoma...
Ni kweli walichosema wadau... Ambacho nilieleza mwanzo lakini wao wameeleza vizuri... Windows 10 ni incompatible na PC yako... Likiwa swala la drivers unaweza update online ila ni kama 'hardware' zenyewe zimekataa rudi Windows 7....
Kama ume update kutokana na Windows waliyokupa Notification Microsoft wenyewe bado ni genuine... Inaweza PC ikawa inakosa kitu kimoja au viwili kwenye 'minimum requirement' ya kuweka Windows 10. Kuokoa jahazi tafuta tu boot loader ya windows 7 urudi ulipotoka uwe salama halafu ndo utaangalia...
Punguza mauraro mkuu saa nyingine unamuomba mara nyingi mpaka anakwazika... Mpaka ma phone sex... Kaa ongea nae mara nyingine pia labda kuna kitu kinambugudhi akilini inakuwa vigumu kuwaza hayo mambo.. Mjali kwanza yeye na yeye atajali haja zako..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.