mchumba wangu ataongeza mke wa pili

mchumba wangu ataongeza mke wa pili

Si kweli maneno yako blogger! Ni haki gani ambayo mwanamke wa kiislam ananyimwa katika ndoa yake..?? Hebu toa mifano japo miwili kuitetea kauli yako..

mwanaume wa ki islam ana haki ya kua na wake wa 4..... ilhali mwanamke haruhusiwi. Hilo tu latosha tetea hoja yangu.

nyinyi mnafikiri kwamba mwanamke hana wivu si ndio.......??????
 
madam..
Pole kwanza.
Mi huwa nasemaga tu kitu kimoja:binadamu tupo wa hulka,uwezo,limits tofauti kabisa.
Kuna watu ambao they can handle certain things,wengine hawawezi..or kuna kiasi wanachoweza.
Usijaribu kuwa mtu ambae sio(do not be someone you are not regardless)kama ambavyo watu wanacriticize matumizi ya vitu vya kichina basi hata kwenye mambo kama haya usipretend,ni maisha yako sio ya mwingine.
Kuna watu wanaweza handle cheating,betrayal,uke wenza,umaskini etc kwa kiasi anachoweza mwenyewe
Nashindwa kuelewa kama mume wako mtarajiwa anakupenda,kwanini akwambie two weeks before marriage kuhusu hili?mi nlidhani hili ni sawa na kuwa na mtoto,mnaambizana mwanzoni(my opinion) na tayari kapenda mwingne kabla hujaolewa(anajuaje ndani ya mwaka atakuwa na mwingine)
ushauri wangu:kama unaona huwezi kabisa hayo makitu,sali sana Mungu akupe nguvu ya kufanya maamuzi.
 
jamaa katangaza state of emergency mapemaaaa...so be keen enough.
 
Dini inaruhusu? Au Moyo unaruhusu?.. Follow your heart full stop
 
Sa unataka unakimbia nini dada, wakati umesema Imani yenu inaruhusu!!Tulia hapo hapo ukikimbia basi WE SI MUUMINI WA IMANI YAKO..........JF rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:noidea:

nimependa comment yako mkuu, mimi pia nashangaaga mtu kusema ni wa imani fulani lakini kuna vitu havipendi kwenye imani hiyo hiyo!!! Wachana na imani usiyoipenda kwani lazima!!??
 
Khaa! Mi nilijua na wewe Muislam!
Ok! Usijiumize dada yangu, bila shaka mtafunga ndoa ya serikali, usijari, hatakama yy ni Muislamu, kule ni lazima iandikwe kama itakua ~POLYGAMY or MONOGAMY~ na ww ni lazima usain au ukatae kusain, ukikataa kusain mambo mawili yanahusika, ndoa isifungwe au ifungwe unavyotaka wewe! Ikifungwa unavyotaka wewe uko salama, isipofungwa vitu viwili vinahusika, uzizuie hisia zako za kumpenda au uumie kwa kukosa penzi lake, ukizuia hisia zako ukosalama, ukiumia kwa kukosa penzi lake vitu viwili vinahusika, ujinyonge au ukubali uke wenza, ukikubali uke wenza uko salama, ukijinyonga IMEKULA KWAKO.....!
Kila la heri.

Dah!mkuu umenifurahisha sana imebidi nicheke tu jaman.....
 
Naumia sana.wiki mbili zijazo ntafunga ndoa na mchumba wangu lakini leo ameniambia kua baada ya mwaka kuisha ataongeza mke wa pili yaani tuwe wawili mm na mke mwenzangu mbaya zaidi et tutaishi nyumba mmoja !!!!mimi nitakua mke mkubwa lakin yule mwenzangu atakae letwa atakua mke wa pili yaani roho inaniuma sana hata kama imani ya dini inaruhusu hivo mm nashindwa kukubaliana nae?naombeni mchango wetu hapa nipo na mawazo ya kuvunja huu uchumba na nikiangalia taratibu zote za ndoa zimefanyika je nifanye nn?nikatae au nikubali?maana hili swala ameniambia baada ya kuvaa pete ya uchumba na family zote wanajua?je niwahi kwa ostazi atakae funga ndo kutoa taarifa au nifanye nn?uke wenza siwezi
Mwambie kuwa na wewe una mpango wa kuongeza mume wa pili baada ya miezi sita ijayo!
 
Do not let your destinity ruin your dignity hata kama unampenda lakini jua kuwa wake wenza si kazi rahisi hasa katika nyumba moja
 
Ndoa hapo hamna kwani huyo shekhe atakae fungisha ndoa namna hiyo kichekesho atakuwa shehena
 
hongera sana.....huyo ndo mume mkweli...........si afadhali akuongezee mwenzio kuliko awe na hawara aka kimada,,...............!!!!!!!!!!!
 
Naumia sana.wiki mbili zijazo ntafunga ndoa na mchumba wangu lakini leo ameniambia kua baada ya mwaka kuisha ataongeza mke wa pili yaani tuwe wawili mm na mke mwenzangu mbaya zaidi et tutaishi nyumba mmoja !!!!mimi nitakua mke mkubwa lakin yule mwenzangu atakae letwa atakua mke wa pili yaani roho inaniuma sana hata kama imani ya dini inaruhusu hivo mm nashindwa kukubaliana nae?naombeni mchango wetu hapa nipo na mawazo ya kuvunja huu uchumba na nikiangalia taratibu zote za ndoa zimefanyika je nifanye nn?nikatae au nikubali?maana hili swala ameniambia baada ya kuvaa pete ya uchumba na family zote wanajua?je niwahi kwa ostazi atakae funga ndo kutoa taarifa au nifanye nn?uke wenza siwezi

Ipi bora, akazini nje akuletee magonjwa au aowe?

Kwanini uilaumu dini? wakati dini hiyo hiyo haikulazimishi kuolewa? wala haikulazimishi kuto-kuachika?
 
Usiwe na shaka, hakuna mwanaume mwenye ujasiri wa kumwambia mkewe kua anaoa mke wa pili sembuse mchumba unless keshakupachika mimba, less worry huyo anakupima imani yako tu,,,we jifanye u dnt care akishakueka ndani mtengeneze vzr atengenezeke hato waza tena kuhusu nyumba ndogo, huyo mumeo mamii kisikutishe chochote
 
Maadamu wewe ni muislam(ingawa) hujaweka wazi but i stand to be corrected..ndoa za kiislamu zinatambulika kisheria kua ni potentially polygamous..kama huwezi olewa na wa imani nyingine tofauti na yako..hiyo ndo hali halisi..!!
 
madam..
Pole kwanza.
Mi huwa nasemaga tu kitu kimoja:binadamu tupo wa hulka,uwezo,limits tofauti kabisa.
Kuna watu ambao they can handle certain things,wengine hawawezi..or kuna kiasi wanachoweza.
Usijaribu kuwa mtu ambae sio(do not be someone you are not regardless)kama ambavyo watu wanacriticize matumizi ya vitu vya kichina basi hata kwenye mambo kama haya usipretend,ni maisha yako sio ya mwingine.
Kuna watu wanaweza handle cheating,betrayal,uke wenza,umaskini etc kwa kiasi anachoweza mwenyewe
Nashindwa kuelewa kama mume wako mtarajiwa anakupenda,kwanini akwambie two weeks before marriage kuhusu hili?mi nlidhani hili ni sawa na kuwa na mtoto,mnaambizana mwanzoni(my opinion) na tayari kapenda mwingne kabla hujaolewa(anajuaje ndani ya mwaka atakuwa na mwingine)
ushauri wangu:kama unaona huwezi kabisa hayo makitu,sali sana Mungu akupe nguvu ya kufanya maamuzi.

Ameni tanx
 
Usiwe na shaka, hakuna mwanaume mwenye ujasiri wa kumwambia mkewe kua anaoa mke wa pili sembuse mchumba unless keshakupachika mimba, less worry huyo anakupima imani yako tu,,,we jifanye u dnt care akishakueka ndani mtengeneze vzr atengenezeke hato waza tena kuhusu nyumba ndogo, huyo mumeo mamii kisikutishe chochote

Asant kwa kunip moyo
 
Maadamu wewe ni muislam(ingawa) hujaweka wazi but i stand to be corrected..ndoa za kiislamu zinatambulika kisheria kua ni potentially polygamous..kama huwezi olewa na wa imani nyingine tofauti na yako..hiyo ndo hali halisi..!!

M christian
 
Back
Top Bottom