Recent content by IDRISOU

  1. IDRISOU

    Share Coke, Dhihaka kwa Mwanaume

    teh teh teh....domozege apa, kitonga.
  2. IDRISOU

    Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Mikopo na wengine watatu wasimamishwa kazi

    Waziri wa Elimu, Sayansi,Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amesitisha mkataba wa Mkurugenzi wa bodi ya mikopo na wakurugenzi wengine wa nne kutokana na utendaji mbovu katika kuendesha bodi hiyo...ITV
  3. IDRISOU

    Anahitajika haraka Administrative Officer/Receptionist

    afu hicho kigezo cha awe mschana...mnamalengo gan nae?
  4. IDRISOU

    Msaada: Airtel University offer

    Nanyie msome, mfike chuo..mstembelee upepo
  5. IDRISOU

    Hivi kwanini watu wanapenda kuambiwa uongo?

    nisawa umwambie ukweli mwanamke kwamba ana nuka mdomo...daaah timbwili lake apo. Asa sijui mtu uvumilie harufu mbaya.
  6. IDRISOU

    Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

    hahahaa...sidhan kama yetu itatusababishia yafuatayo. 1.Tumbo kuuma. 2.kununa hovyo. 3.kutoka uchafu mwingi. 4. Harufu mbaya. 5. Hatuvai ped.
  7. IDRISOU

    Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

    Afu Jimena umefurahi sana.
  8. IDRISOU

    Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

    daaah....tuheshimiane.
  9. IDRISOU

    Natafuta mpenzi wakike

    Duuuh haya ever
  10. IDRISOU

    Natafuta mpenzi wakike

    We mschana au mvlana? Huenda ikawa haikuhusu tafadhari
  11. IDRISOU

    Natafuta mpenzi wakike

    Hahahahaa! Kwan una umri gani weye?
  12. IDRISOU

    Natafuta mpenzi wakike

    Umri kuanzia 20-26 Rangi yeyote. Urefu wowote Sina vigezo vingine
  13. IDRISOU

    Natafuta mpenzi wakike

    Naitwa idrisou , napatikana Moro ila zanzibar ndio nyumbani. Natafuta mpenzi wakike ali hali anipende nimpende maswala ya dini kabira sijari. Umri wangu 24. Bado mwanafunzi nasoma chuo Mzumbe (SHERIA). TAFADHARI KAMA HUJARIDHIKA NAMI USINITAMANISHE NAKUNIACHANIZA 0784120800 whatsapp me.
  14. IDRISOU

    Msaada wa hili swali

    Jamani naombeni msaada
  15. IDRISOU

    Wanasheria msaada

    Basing on any contemporary issue in human right today, as a group briefly discuss your common thoughts on the matter.
Back
Top Bottom