Anahitajika haraka Administrative Officer/Receptionist

Conrad84

Senior Member
Feb 14, 2016
104
43
Habari,

Anahitajika haraka Administrative officer/Cashier ktk ofisi yetu mpya iliopo Mwenge, Dar es salaam.

MAJUKUMU
- Kuhakikisha ofisi inakuwa safi
- Kutunza kumbukumbu zote za malipo,matumizi na bili za ofisi.
- Kulipa Wafanyakazi na Suppliers
- Kuandaa Invoice za wateja
- Kuandaa Risiti,Cheki,Peti keshi
- Kuwasiliana na wateja juu ya Malipo.
- Ku update database ya wafanyakazi.

SIFA ZA MUOMBAJI
- Awe wakike na umri usiozidi miaka 28.
- Aweze kuongea kiingereza vizuri
- Aweze kutumia program za kompyuta ( Kama Ms excel, Ms Word, Ms outlook, Internet na Email)
- Awe na leseni ya udereva
- Awe anajua mambo ya Administrative officer/Cashier

Mshahara wa kunzia: 250,000.0

Kwa maelezo zaidi: 0774 819 710
 
Wenye sifa ombeni mkatafute ujuzi msikatishwe tamaa na wenye kazi za mamilioni, kama CV ni nyeupe kaipe maandishi hapo
 
Habari,

Anahitajika haraka Administrative officer/Cashier ktk ofisi yetu mpya iliopo Mwenge, Dar es salaam.

MAJUKUMU
- Kuhakikisha ofisi inakuwa safi
- Kutunza kumbukumbu zote za malipo,matumizi na bili za ofisi.
- Kulipa Wafanyakazi na Suppliers
- Kuandaa Invoice za wateja
- Kuandaa Risiti,Cheki,Peti keshi
- Kuwasiliana na wateja juu ya Malipo.
- Ku update database ya wafanyakazi.

SIFA ZA MUOMBAJI
- Awe wakike na umri usiozidi miaka 28.
- Aweze kuongea kiingereza vizuri
- Aweze kutumia program za kompyuta ( Kama Ms excel, Ms Word, Ms outlook, Internet na Email)
- Awe na leseni ya udereva
- Awe anajua mambo ya Administrative officer/Cashier

Mshahara wa kunzia: 250,000.0

Kwa maelezo zaidi: 0774 819 710
Duuuuh!! Administrative Officer (afisa tawala) mshahara 250,000!!!

Au unahitaji mdada wa mapokezi (receptionist)?
 
Back
Top Bottom