Ni Kweli kabisa, hakuna Ubishi wowote ! Huduma hii inatutesa sana Kuipata namba unayotaka kuongea nayo kwa kutumia Cheka time ni shughuli pevu. inasikitisha na hawa VODACOM waagizwe kurekebisha mitambo yao haraka iwezekanavyo ! ! !.
kama pesa wameshapata saaana.
Mfano: shs...
Wapinzani wakiungana na kuchagua Mgombea Mmoja itasaidia sana kuleta Mabadiliko ya kweli na atakayeshinda kweli atakuwa na ridhaa ya Kuliongoza Taifa letu na hawezi kuleta MIZENGWE wala USANII bila kujali jina lake wala Chama.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Allah akufanyieni wepesi katika Safari yenu na Ibada yote kwa Ujumla wenu na wengine wote waliokusudia kwenda Hijja Allah kwa Huruma yake nao pia awarahisishie Safari zao INSHALLAH.
Hivi Kaboyonga ana lipi la kupigiwa mfano alilolifanya ?
wale Makamanda wako huru katika nchi huru kufanya vitu vyao (kuwatumikia wananchi) tena wanatuhamasisha na vicoba na misaada tele ! MUNGU WASAIDIE WAJA WAKO HAWA.
Kama kweli Ujio wa Wabunge hao utamkwaza Kaboyonga si atasema mwenyewe ...
Huyo Ally Nassor Hastahili kuitwa Kibaka na wala hana Shitaka la kujibu.
Anachostahili ni Kupewa Tuzo ya Uchunguzi na Kupelekwa "Kijitonyama" pale ziziniiii ! akapate mafunzo sahihi maana alichokifanya ni kwa manufaa ya Usalama na Kiongozi wetu wa nchi.
Ukweli usiopingika unajionyesha wazi sasa.
Huku kutawaliwa na Askari AMANI HAIWEZI KUWEPO, WAO NDIO WANAANZA VITISHO NA MATOKEO YAKE WATATUNYANYASA, kwa nini Hawa MA Captain, Luteni na Nanihii wasijiuzulu tuuuuu? Tangu lini askari akawa na uvumilivu wa Kisiasa ?
Mungu tunusuru na haya Ma amri...
Hongera sana MAXENCE kwa kuuliza Maswali, na SHUKRANI SANA kwa Mzee M/Kijiji kwa majibu yake sahihi na yenye maelezo yanayojitosheleza. ama kweli JF ni Darasa la kutosha. Hebu tuendelee kujifunza na kuwa wazi kama kawaida badala ya Malumbano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.