Cheka Time ya VodaCom ni utapeli

tatizo haya makampuni yanapiga hela bila fadhila. Watu wanagharamia mawasiliano. kabla hawajaingiza product mpya sokoni walitakiwa waangalie network capacity yao ili kutupunguzia network congestion na call drops. shame to them.
 
Nakia mikoani kama Makete ni vigumu kupata cheka time ya shilingi mia tano. Promotion za voda ni kama ku-bipu!
 
mimi nilijiunga na hii service wakanikata hiyo Tsh 500 lkn matokeo yake sikupata hiyo service na ukipiga customer care hawapatikani muda wote, nakuunga mkono kuwa hawa vodacom ni MATAPELI
Pole sana ndugu,ila haina athari kubwa sana kwa watanzania sababu asilimia tisini za simu tunazopiga ni za mapenzi,huwezijua labda walishtuka kuwa unataka tongoza mke wa mtu ndio maana wakakutosa kimtindo huo!!
 
Vodacom ni wezi, hata hizo dakika 60 hazifiki nawahakishieni, mi kila siku naingia cheka time na naongea average dak 25-30 hadi sa 12 lakini unakuna na salio limepungua!!! unashangaa na matapeli hao. hawatimizi wanachokisema
 
Lakini unapata unafuu,na ndo maana unaweka kila siku.la sivyo usingeendelea kuitumia kila siku wakati unatepaliwa...
 
Pole sana ndugu,ila haina athari kubwa sana kwa watanzania sababu asilimia tisini za simu tunazopiga ni za mapenzi,huwezijua labda walishtuka kuwa unataka tongoza mke wa mtu ndio maana wakakutosa kimtindo huo!!

basi mitandao ya siku hizi kiboko..ahaaaa..
 
Vodacom kama mnawajari wateja wenu ni vyema mkaisimamisha iyo cheka time ili tuwe tunapata mawasiliana na watu!
Manake kila mara error in connection
 
Ni Kweli kabisa, hakuna Ubishi wowote ! Huduma hii inatutesa sana Kuipata namba unayotaka kuongea nayo kwa kutumia Cheka time ni shughuli pevu. inasikitisha na hawa VODACOM waagizwe kurekebisha mitambo yao haraka iwezekanavyo ! ! !.
kama pesa wameshapata saaana.
Mfano: shs. 500x2,000,000wateja=1BILIONI kwa siku moja tu ! halafu huduma inapokosekana kwa nini tusiwaite wezi hawa na wataalamu wa Mamlaka ya Mawasiliano watusaidie TUWASHITAKI HAWA JAMAA WA VODACOM. VINGINEVYO UMASIKINI WETU UTAZIDI KUONGEZWA NA KUNYONYWA NA KUIBIWA na VODACOM.
 
Ukweli ni huu. Unapewa cheka time 60 minutes from 6:00 am to 4:59 pm, the it resumes from 9:00 pm to 11:59 pm with the same credit (the reminder from 60 minutes if you did not exhaust them). Na dakika ni za uhakika na kweli kabisa. Nimejaribu and it is working comfortably!!!!
 
......
Mfano: shs. 500x2,000,000wateja=1BILIONI kwa siku moja tu ! halafu huduma inapokosekana kwa nini tusiwaite wezi hawa na wataalamu wa Mamlaka ya Mawasiliano watusaidie TUWASHITAKI HAWA JAMAA WA VODACOM. VINGINEVYO UMASIKINI WETU UTAZIDI KUONGEZWA NA KUNYONYWA NA KUIBIWA na VODACOM.

Teh teh leo ndio mwaanza kuatambua kuwa wana waingiza kingi eeeehhh last few weeks niliweka thread yangu kuwa Cheka Time ya vodacom ina let network jam watu waka wameuchuna hawakuchangia nkajua basi kumbe mwaipenda sasa leo ndio mwagundu kuwa wao wanawaingiza kingi. to be honesty cheka time has proved failure na yaleta jam sana kwa network communication kwa ujumla huwezi mpigia mtu simu mara moja ni lazima utairudia mara mbili kerroooooo sana.

Back
Top Bottom