Recent content by IDDI M CHAMSHAMA

  1. IDDI M CHAMSHAMA

    JamiiForums Tanzania Polisi wamezingira nyumbani kwa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Joseph Gwajima

    Hv hatuna shughuli za kufanya? Hv huyo mchungaji hasa profession yake nini?? Hv waandishi na wananchi hawawezi kumpuuza kwmba kaishiwa?? Kwani anataka nini??? Kiki???
  2. IDDI M CHAMSHAMA

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Mo Ibrahim yakosa mshindi tena

    Mo hana hela ndio mana ana wadisqualify
  3. IDDI M CHAMSHAMA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku hizi ukiomba pesa unajibiwa "njoo uchukue"

    Raha ya muamala uwe ana kwa ana
  4. IDDI M CHAMSHAMA

    JamiiForums Tanzania Siasa za Udahili: Muslim University of Morogoro

    Hiko chuo ni exceptional kwanza usema ni chuo cha dini sasa ulitaka wafuaye vigezo gn
  5. IDDI M CHAMSHAMA

    JamiiForums Tanzania Kwa hili simuungi mkono Rais Magufuli

    Mm sioni tatizo rais ana uhuru wa kuingia popote
  6. IDDI M CHAMSHAMA

    JamiiForums Tanzania Kinachofuata awamu hii ni maisha magumu kuliko awamu zote

    Na maisha magumu ndio kipimo cha akili na ustaarabu
  7. IDDI M CHAMSHAMA

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasanii wa kiislamu (bongoflavor) hawa-support mfungo wa ramadhani?

    Watangaze kbl mwezi haujaandama??
  8. IDDI M CHAMSHAMA

    JamiiForums Tanzania Mbowe acha siasa za maigizo, UKAWA hamna akidi ya kumng'oa Naibu Spika

    Tunategemea mbeleko
  9. IDDI M CHAMSHAMA

    JamiiForums Tanzania Msata moja

    Kifo kipi !!?? Ni kwa wachaga wote kusafiri ndani ya BM au!?
  10. IDDI M CHAMSHAMA

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    TANGAZO: Tunanunua simu feki kwa bei nzuri tunauza original
  11. IDDI M CHAMSHAMA

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

    Chuo kipya hakina uzoefu
  12. IDDI M CHAMSHAMA

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanafunzi wa UDOM Kurudishwa chuo kwa awamu

    Hivi mnaona ni halali kwa mtu wa divison four kusoma degree!!???
Back
Top Bottom