RUCCI
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 1,701
- 1,714
Serikali ya kijiji cha Kikukwe, Kata ya Kanyigo wilayani Missenyi, imepongezwa kwa ubunifu wake wa kuunda Kamati ya Maadili chini ya kamati ya ustawi wa jamii ya kijiji hicho katika kukabiliana na mmomonyoko wa maadili.
Mwanakijiji atakayevunja maadili atatozwa faini ya shilingi 50,000 papo hapo.
Miongoni mwa masuala yanayofikishwa kwenye kamati hiyo ni kunywa pombe wakati wa saa za kazi, ulevi wa kupindukia, uzembe, wanaume kutelekeza familia zao na wanawake kuwalisha limbwata waume zao.