Msata moja

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,550
729,444
0da0b68501512a442278fcbd1ca503f0.jpg
 
Halafu bado mnasema wazungu ni wakali,pamoja na kutokuwa na vifaa kazi na umasikini ambao tunao watu weusi lakini tumeweza kuwa japo na kaubunifu kidogo...bila wazungu kututawala zama za kale sisi ngozi nyeusi ndiyo tungekuwa tunategemewa kwa kila kitu duniani kote
 
Historia inaonyesha kuwa maendeleo ya kwanza yalianzia Africa
 
Kabisa mkuu sisi tulikuwa vyema sana katika dhana ya ubunifu tena sana, historia inaonyesha viwanda vya mkono tulikuwa tunaenda kwa kasi ya ajabu wakoloni wakaanza kutukata mikono ilihali tushindwe kujikomboa kiuchumi, hebu jaribu siku moja fanya ziara kutembelea vijijini mbalimbali hapa Tanzania utaona kuna vitu vingi vya kiubinifu umeme wa maji ya mifereji,upepo yani ni noma ila wazungu siwezi kuwapa heshima hata siku moja
 
Wengi hawajui kwamba vitu kama traffic lights ni ubunifu wa kiafrika
 
huyu jamaa, alijenga Ghorofa baada ya kiwete kujenga majengo yake makali pale msoga, sio msata Mshana Jr, ni msoga, hapo huyo jamaa aliosoma na kikwete shule ya msingi alafu alikuwa mpinzani wake sana, kikwete alipokuwa raisi, jamaa alikimbianchi alivyoskia amemalza ndo akarudi na kujenga ilo jengo huwa akipanda juu anamchungulia kikwete amejenga kwenye mrima pale msoga.
 
Back
Top Bottom