Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,543
Kupata kiongozi bora Africa ni ngumu kama ilivyo vigumu kupata bikra kwenye matenity ward. Itachukua miaka mingi kweli kupata huyo wanaemtafuta. Hata huyu wetu ameshajifelisha kama mtangulizi wake
Mbona washapatikana kadhaa toka ianze?