Wadau naulizia utapatikanaji wa shamba la kufuga kuku, either katika mikoa Dar, Arusha, Moshi, Pwani(Ruvu) Tanga, Moro hata Singida, sehemu moja wapo.
Kama lipo mniambie na gharama za kukodi, nahitaji msaada wenu, maana hapa naandika project upatikanaji wa eneo ndo unazingua, tusaidiane...