Matokeo form 6: Mikoa ya Kusini yaigalaza chali,iliyoitwa ya wasomi

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Sijui Kagera ,Kilimanjaro, Mbeya ,Mwanza zote chali sasa ni wacheza unyago na waliotwa wa madrasa tu,

Ukiangalia utajua baada ya kudhibiti wizi wa mitihani kuna mikoa itaumbuka sana na kujifanya wasomi na wenye shule nyingi eti za misheni.

Mbali na uchumi wa gesi na korosho vijana wa wachonga vinyago(walivyoitwa zamani) kesho mtawakuta vyuoni ,

Kusini kuchele pitia jedwari hapo
IMG_20190713_110215.jpeg
 
Advance sio kama shule za kata,kwamba wanaotoka maeneo hayo ndio wanaosoma huko!!!!

Nikupe mfano shule ya advance kibaha mkoani Pwani,darasa letu la PCM ni mwanafunzi mmoja tu aliyekuwa mzawa wa Pwani!!!
 
Ila Kilimanjaro ni habari nyingine. Huo mkoa unashule za A level 66 ambazo ni nyingi kuliko mkoa wowote nchini.

Katika ufaulu Kilimanjaro kuna div 1 na div 2 nyingi kuliko mkoa wowote Dar es Salaam included.

Mikoa michache sana inaweza kushindana na huu mkoa uliobarikiwa na Mbingu na dunia.
 
Mkuu wewe utakuwa taahira! Unalinganishaje mwenye wanafunzi 900 na yule mwenye wanafunzi 7000? Huyu Lindi yako kama daraja la kwanza hadi la 3 wote wataenda Versity ni 847 tu wakati Kilimanjaro kwa madaraja hayo ni zaidi ya 7000! Sasa nani yuko juu zaidi ya mwenzake? Wewe punguani!
 
Ila Kilimanjaro ni habari nyingine. Huo mkoa unashule za A level 66 ambazo ni nyingi kuliko mkoa wowote nchini.
Katika ufaulu Kilimanjaro kuna div 1 na div 2 nyingi kuliko mkoa wowote Dar es Salaam included.
Mikoa michache sana inaweza kushindana na huu mkoa uliobarikiwa na Mbingu na dunia.

Nimezaliwa Kilimanjaro na wazazi wenyeji wa Kilimanjaro.

Nimekua na kuishi Kilimanjaro kwa miaka 20.

Huwa ninapata faraja sana kuona Mkoa wa Kilimanjaro ulivyobarikiwa kila kitu kuliko mkoa wowote Tanzania.

Kilimanjaro ni Nchi ya Ahadi!
 
Kweli wewe ni kiazi cha kusini. Kwa hali hii huko kusini wajinga wataendelea kujaa. Unalinganisha wanafunzi 7,000+ kutoka shule 60+ na wanafunzi 953 kutoka shule 9??

Hujui kwamba advance ni wanafunzi kutoka maeneo mengi ya nchi?

Hujui shule za advance zilizopo remote areas huwa zinafanya vizuri.

Advance ni vijana wanaojielewa na ni wanachuo watarajiwa, kufaulu kwao siku zote hakumtegemei mwalimu wao darasani.

Soma elimika.
 
Sijui kagera ,Kilimanjaro, mbeya ,mwanza zote chaliii sasa ni wacheza unyago na waliotwa wa madrasa tu,

Ukiangalia utajua baada ya kudhibiti wizi wa mitihani kuna mikoa itaumbuka sana na kujifanya wasomi na wenye shule nyingi eti za misheni.

Mbali na uchumi wa gesi na korosho vijana wa wachonga vinyago(walivyoitwa zamani) kesho mtawakuta vyuoni ,

Kusini kuchele pitia jedwari hapoView attachment 1152383
Mkuu utanisamehe kama nitakukwaza lakini ukweli ni kwamba uwezo wako wa kufanya comparative analysis ni finyu mno
 
mimi ni mwalimu niko kilimanjaro ,hawa wenzetu wapo mbali sana wanasamini waalimu sana wazazi wana muamko waelimu sana huku waalimu wengi wamepewa nyumba bure za kuishi ,nyumba zipo tuu hazina watu ,matokeo ukiyacheki ni div one na two
 
Sijui kagera ,Kilimanjaro, mbeya ,mwanza zote chaliii sasa ni wacheza unyago na waliotwa wa madrasa tu,

Ukiangalia utajua baada ya kudhibiti wizi wa mitihani kuna mikoa itaumbuka sana na kujifanya wasomi na wenye shule nyingi eti za misheni.

Mbali na uchumi wa gesi na korosho vijana wa wachonga vinyago(walivyoitwa zamani) kesho mtawakuta vyuoni ,

Kusini kuchele pitia jedwari hapoView attachment 1152383
leta uzi huu kwa matokeo ya FORM 2 na 4, ambayo ni wazawa 90%,, advance za kusini zimejaa watu wa kuja kutoka mikoa hiyo uloitaja kwa 90% ko bado ni kama wanashindana wai kwa waoo,,, mfano TANDAHIMBA DAY WANAFUNZI WAMEFAULU KWA DARAJA 1 NA 2 ISIPOKUA WAPUUUZ WACAHE WAMEPATA 3 AMABAO NI WAMAKONDE WAZAWA HALAFU UNA BWABWAJA NINI??...UKISOMA JINA LANGU NA UKAELEWA LINAMAANA GANI UTAELEWA UNIPILIKANA SOMO?? ELIU KUSINI IKAPALI
 
Back
Top Bottom