Kumbe mabadiliko wanayonadi UKAWA ni...

Kumbe mabadiliko wanayonadi UKAWA ni...

Mabadiliko watu wanayotaka kwa kifupi ni kuto ongozwa na ccm tena na sio vinginevyo

Magufuli anaongea mambo ya kumpinga boss wake kila siku anashangaa tuuuuu

Maana yake anang'oa mfumo wa boss wake na kuweka wa kwake.
Mara kibao Mgufuli kawamtunishia misuli JK na Pinda hadharani hadi wakawa wapole.
 
Mwaka huu ni zamu ya wasukuma!-CCM
 
faiza bwana muislamu unaemuunga mkono MTU ALIYEWAITA UHAMSHO WAHALIFU NA MAGAIDI DAAHH...!!
KESHO KWA MUNGU KUNA KAZI SANA....!!
serious magufuli anasema wale uamsho magaidi leo unamuona lowassa aliyesema atawatoa wale wazee wa watu waliolawitiwa gerzani hafai kisa we NI CCM
kweli uislamu mgumu...duuhhh nilikua nakuheshimu sana ila jipange upyaaa
 
halafu alidai hawataki wala kitimoto .
 
Inasikitisha sana.

Si muda mrefu uliopita ilikuwa ni kawaida kusoma humu JF na kusikia kauli za "ukombozi" kutoka kwa baadhi ya watu.

Mimi, kupitia hii hii JF nikasema hiyo ni kauli aliyoitumia Luther alipokuwa anajitenga na RC.

Haikupita muda Mkapa akawapa dozi live pale Jangwani, wale wote wanaosema "ukombozi" kwa kauli ya Mkapa alisema ni "wapumbavu na malofa".

Dozi hiyo ya Mkapa imewaingia vizuri sana na toka siku hiyo sijaliona hilo neno au kama nimeliona tena basi ni mara moja au mbili kwa wale ambao dozi haijawaingia vizuri.

Haikupita muda nikamsikia kwenye video, kupitia hapa hapa JF, Lowassa akiongea kanisa la kilutheri akisema wamchaguwe kwa kuwa yeye ni Mlutheri na hakuna Mlutheri aliyewahi kuwa Rais kwa hiyo sasa ni zamu yao.

Kwa hayo, sasa nnaamini "mabadiliko" wayatakayo UKIWA ndio hayo ya kutaka dhehebu fulani na watu wa kanda ndiyo watawale.

Kwa sababu nimewasoma sana humu JF, wao wanasema wanataka mabadiliko tu, ukiwauliza "ya nini hayo mabadiliko" hawasemi! Jibu lao ni "sisi tunataka mabadiliko tu"!

Magufuli ananadi mabadiliko na anaeleza hayo mabadiliko yatakuwa yepi.

Ukweli ni kuwa hawa wote wanaobwabwaja mabadiliko domo linakuwa zege inapokuja kusema mbele za watu ni mabadiliko yepi wayatakayo na sababu ni hiyo, wanataka mabadiliko ya dhehebu na ukanda. Hata Lowassa alipolisema hilo aliwafukuza waandishi wa habari kanisani akabaki na Walutheri wenzake tu.

Watanzania tusiwasikilize hawa hata kidogo, hiyo agenda yao ya udini na ukanda waliifanya siri lakini Mwenyeezi Mungu hamfichi mnafik, Lowassa alidhani anaongea siri na Walutheri wenzake, kumbe kuna mtu amemrekodi, ni hatari sana.

Tazama list ya ukawa inayoongozana na Lowassa. Wote Walutheri na wote wa Kaskazini; Lowassa, Mbowe, Sumaye, Mbatia.

Nnamuombea salama tu yule mtu aliye mrekodi Lowassa, maana watu wakifikia kiasi hicho wanakuwa ni hatari sana.

Hawa watu ni hatari sana tena sana na ni wabaguzi wa hali ya juu. Tuhakikishe hawapati kura za kila mwenye kujitambuwa.

#HapaKaziTu
Kuna tofauti kubwa sana mtu anaposema mniombee na mnipigie kura,siamini hata wewe unajifanya huoni tofauti.
 
CHADEMA ni nyumbu. Wanapelekeshwa tu na wao wanaenda

Changanya na yangu.jpg

Je ni nani wanaopelekeshwa na wao wanaenda kati ya UKAWA na CCM????​
 
Inasikitisha sana.

Si muda mrefu uliopita ilikuwa ni kawaida kusoma humu JF na kusikia kauli za "ukombozi" kutoka kwa baadhi ya watu.

Mimi, kupitia hii hii JF nikasema hiyo ni kauli aliyoitumia Luther alipokuwa anajitenga na RC.

Haikupita muda Mkapa akawapa dozi live pale Jangwani, wale wote wanaosema "ukombozi" kwa kauli ya Mkapa alisema ni "wapumbavu na malofa".

Dozi hiyo ya Mkapa imewaingia vizuri sana na toka siku hiyo sijaliona hilo neno au kama nimeliona tena basi ni mara moja au mbili kwa wale ambao dozi haijawaingia vizuri.

Haikupita muda nikamsikia kwenye video, kupitia hapa hapa JF, Lowassa akiongea kanisa la kilutheri akisema wamchaguwe kwa kuwa yeye ni Mlutheri na hakuna Mlutheri aliyewahi kuwa Rais kwa hiyo sasa ni zamu yao.

Kwa hayo, sasa nnaamini "mabadiliko" wayatakayo UKIWA ndio hayo ya kutaka dhehebu fulani na watu wa kanda ndiyo watawale.

Kwa sababu nimewasoma sana humu JF, wao wanasema wanataka mabadiliko tu, ukiwauliza "ya nini hayo mabadiliko" hawasemi! Jibu lao ni "sisi tunataka mabadiliko tu"!

Magufuli ananadi mabadiliko na anaeleza hayo mabadiliko yatakuwa yepi.

Ukweli ni kuwa hawa wote wanaobwabwaja mabadiliko domo linakuwa zege inapokuja kusema mbele za watu ni mabadiliko yepi wayatakayo na sababu ni hiyo, wanataka mabadiliko ya dhehebu na ukanda. Hata Lowassa alipolisema hilo aliwafukuza waandishi wa habari kanisani akabaki na Walutheri wenzake tu.

Watanzania tusiwasikilize hawa hata kidogo, hiyo agenda yao ya udini na ukanda waliifanya siri lakini Mwenyeezi Mungu hamfichi mnafik, Lowassa alidhani anaongea siri na Walutheri wenzake, kumbe kuna mtu amemrekodi, ni hatari sana.

Tazama list ya ukawa inayoongozana na Lowassa. Wote Walutheri na wote wa Kaskazini; Lowassa, Mbowe, Sumaye, Mbatia.

Nnamuombea salama tu yule mtu aliye mrekodi Lowassa, maana watu wakifikia kiasi hicho wanakuwa ni hatari sana.

Hawa watu ni hatari sana tena sana na ni wabaguzi wa hali ya juu. Tuhakikishe hawapati kura za kila mwenye kujitambuwa.

#HapaKaziTu

Wewe inaonesha umeandika kwa nia ya kuwagombanisha wakiristo. Tunawasubiri waislam 2020 mtatoana roho kati ya wanauamsho/wapinzani wa bakwata na bakwata.
Swala la wakiristo tuachie wakiristo dada, hayakuhusu.
Hata huyo Magufuli akiwekewa jiwe lililoabdikwa kurran utachagua jiwe....
Malkia wa mipisho ya kidini....pole...wakiristo wanajitambua ndo maana wamewachia wapumbavu kuendelea kujadili ukatoliki, ulutheri, walokole, nk.
 
hivi kati ya lowassa aliyesema hayo maneno na nyie mnaosambaza alichokisema na kukitafsiri kama udini nani anataka kuligawa taifa???
 
Huo udini siku ukipata nguvu na watu wakatengana kutokana na dini zao i think no body will be happy even those spreading rumours!!!
 
Interesting mwaka huu FaizaFoxy na Dr Slaa na Mwanakijiji wote team moja wanaiponda CHADEMA..

mwaka huu una mengi ya ajabu
Lowassa na Mnyika marafiki
Lowassa na kubenea marafiki
Lowassa na tundu Lissu marafiki
Tundu Lissu na Slaa maadui
Mbowe na Josephine maadui
Lipumba na Seif maadui
Slaa na Mwakyembe marafiki
Slaa na TISS marafiki..
Gwajima na Slaa maadui

Ha ha haaaa...ongeza na hii mkuu
Kikwete na Lowassa maadui
Zitto na CCM marafiki
Sumaye na Mkapa maadui
Mwandosya na Nape maadui
Ester Bulaya na Wasira ni zaidi ya uhadui
James Lembeli na CCM maadui.

Mwisho...The Boss wa JF amekuwa ndumila kuwili. Huku anang'ata na kupuliza na kule anan'gata na kupuliza.
Kweli uchaguzi wa mwaka huu unavituko.
 
Inasikitisha sana.

Si muda mrefu uliopita ilikuwa ni kawaida kusoma humu JF na kusikia kauli za "ukombozi" kutoka kwa baadhi ya watu.

Mimi, kupitia hii hii JF nikasema hiyo ni kauli aliyoitumia Luther alipokuwa anajitenga na RC.

Haikupita muda Mkapa akawapa dozi live pale Jangwani, wale wote wanaosema "ukombozi" kwa kauli ya Mkapa alisema ni "wapumbavu na malofa".

Dozi hiyo ya Mkapa imewaingia vizuri sana na toka siku hiyo sijaliona hilo neno au kama nimeliona tena basi ni mara moja au mbili kwa wale ambao dozi haijawaingia vizuri.

Haikupita muda nikamsikia kwenye video, kupitia hapa hapa JF, Lowassa akiongea kanisa la kilutheri akisema wamchaguwe kwa kuwa yeye ni Mlutheri na hakuna Mlutheri aliyewahi kuwa Rais kwa hiyo sasa ni zamu yao.

Kwa hayo, sasa nnaamini "mabadiliko" wayatakayo UKIWA ndio hayo ya kutaka dhehebu fulani na watu wa kanda ndiyo watawale.

Kwa sababu nimewasoma sana humu JF, wao wanasema wanataka mabadiliko tu, ukiwauliza "ya nini hayo mabadiliko" hawasemi! Jibu lao ni "sisi tunataka mabadiliko tu"!

Magufuli ananadi mabadiliko na anaeleza hayo mabadiliko yatakuwa yepi.

Ukweli ni kuwa hawa wote wanaobwabwaja mabadiliko domo linakuwa zege inapokuja kusema mbele za watu ni mabadiliko yepi wayatakayo na sababu ni hiyo, wanataka mabadiliko ya dhehebu na ukanda. Hata Lowassa alipolisema hilo aliwafukuza waandishi wa habari kanisani akabaki na Walutheri wenzake tu.

Watanzania tusiwasikilize hawa hata kidogo, hiyo agenda yao ya udini na ukanda waliifanya siri lakini Mwenyeezi Mungu hamfichi mnafik, Lowassa alidhani anaongea siri na Walutheri wenzake, kumbe kuna mtu amemrekodi, ni hatari sana.

Tazama list ya ukawa inayoongozana na Lowassa. Wote Walutheri na wote wa Kaskazini; Lowassa, Mbowe, Sumaye, Mbatia.

Nnamuombea salama tu yule mtu aliye mrekodi Lowassa, maana watu wakifikia kiasi hicho wanakuwa ni hatari sana.

Hawa watu ni hatari sana tena sana na ni wabaguzi wa hali ya juu. Tuhakikishe hawapati kura za kila mwenye kujitambuwa.

#HapaKaziTu

Mungu katika Yesu Kristo akukomboe wewe unayesambaza uchochezi wa kidini

Ile video kwa mwenye akili timamu inasemajuu ya kuombewa na si suala la kupigiwa kura

mara nyingi ukiona mtu anapinga kuombewa jua ana mganga wake wa kienyeji

Ninakomesha chuki zote za kidini na kusudi la Mungu likatimie katika jina kuu la Yesu
 
Back
Top Bottom