Ni kama saccos ila sio saccos

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
810
711
Habari wanaJF,

Nimepata idea kama ya Saccoss ila iko tofaut kidogo, iko hivi;

Members tunakuwa tunachangishana maybe kwa miez sita au mitatu inategemea na idad ya members na mtaji ambao tumejiwekea kwa kufanya investment kwenye sector flan mfano kilimo, ufugaji n.k kwa lengo la kila members kupata interest kwa kila mtaji tutakao anzisha.

Katka members wao nilkuwa nataka kuwa na wataalam mbalmbali kama wa kilimo, mifugo, uchumi na biashara na IT kwajir ya kutengeneza platform ya biashara. Lengo kuu ni kukusanya mtaji ambao utatusahidia kutengeneza business opportunity.

Tulio wengi tuna ideas lakini hatuna mtaji, ufumbuzi ni kutengeza platform ambayo inaweza kusaidia kutimiza malengo ya kila mmoja tukiwa straight forward.

Kama kuna mtu anaweza kuongezea mawazo hapo its okay unakaribishwa .

Nawakilisha asanteni.

"Coming together is a beginning, staying together is progress, and working together is success"
 
Last edited:
Wazo zuri sana hata kama halina maelezo yote yaliyokamilika lakini nia na uthubutu hua haishindwi.
Tatizo ni kuwapata vijana/watu watakaokua committed na kuwa na uvumilivu wa kulitekeleza hilo wazo.
Tupo kwenye kizazi kinachotaka mambo ya haraka na matokeo ya hapohapo bila kuwa tayari kulipia gharama.
 
Nice responding braza, I like it...
 
Nice responding braza, I like it...

Shukrani kaka, cha msingi usikate tamaa. Ningeshauri vile vile kama utaweza ukaeleza kidogo wewe una uzoefu gani au utaalam wa fani gani. Japo sio muhimu sana ila itasaidia kidogo kuonyesha unamaanisha unachokisema. Nia ya dhati na uthubutu ukiongeza na kutokata tamaa, bidii na maarifa havitakutupa kamwe. Huenda isiwe rahisi lakini kuna siku utapata matokeo mazuri.
 
Mi ni IT(degree) ila sijui mchanganuo wa biashara ni idea tu , ndo maana nikaolozesha baadh ya wataalam uchumi na biashara n.k wanaoitajika kwenye group(members). Naomba nisomek sio lazima ukiwa na idea unaweza kufanya au unauzoefu, ni mawazo tu..
 
Habari wanaJF, nimepata idea kama ya saccoss ila iko tofaut kidogo, iko hivi members tunakuwa tunachangishana maybe kwa miez sita au mitatu inatengemea na idad ya members na mtaji ambao tumejiwekea kwakufanya investment kwenye sector flan mfano kilimo,ufugaji n.k kwa lengo la kila members kupata interest kwa kila mtaji tutakao anzisha. Katka members wao nilkuwa nataka kuwa na wataalam mbalmbali kama wa kilimo, mifugo, uchum na biashara na IT kwajir ya kutengeneza platform ya biashara. Lengo kuu ni kukusanya mtaji ambao utatusahidia kutengeneza business opportunity. Tuliowengi tunaideas lakin atuna mtaji, ufumbuz ni kutengeza platform ambayo inaweza kusaidia kutmiza malengo ya kila mmoja tukiwa straight forward.

Kama kuna mtu anaweza kuongezea mawazo hapo its okay unakaribishwa .

Nawakilisha asanteni.

"Coming together is a beginning, staying together is progress, and working together is success"
Tell everybody else what you want to do but show it first.
 
Wazo zuri sana mkuu, ningeongezea kwa kusema tafuta watu wasio zidi watano na wasiopungua watatu, mnaofanana kitabia, wote wana hari kama yako, wana hamu ya maendeleo, wanataka kuumia. Nasema hivi maana ilitutokea sis tulikuwa tunakikundi, cha mtu tano, tukapata kamkopo kaa m2, tukaanzisha saiti ya kufyatua tofali, ila wale wenye tabia chafu walituangusha, na kusababisha saiti ikafa, so tafuta watu ambao you know them alot, ihapokuwa ni vigumu, ila ikishindikana, jaribu kuwaamin wote hivyo hivyo, ushauri mngejenga kukindi na mkisajili mapema kwa viongozi wa serikali za mitaa, maana kuna mafungu ya serikali pia yanakuja, yatasaidia kupiga hatua, mim nipo moshi, namalizia bachelor ya statistics and mathematics as well a research and project management,,, kama mpango iatafika mwezi wa saba I'll be free to join you.... good luck
 
Good idea, nimeichukua
 
hongera sana kiongozi nami naungana na wewe ila pia nami wazo ambalo kwa mimi naamini litatufikishia malengo yetu wote kama kikundi kwani ni fani ambayo nahifaham, naijua pia hata changamoto zake mm binafsi nilikwama katika mtaji ila naimani kwa pamoja tunaweza. naomba kungana nanyi 0659865639 pia co mbaya ukini pm namba zako.
 
wafanyakazi wa serikali je? maana ndoto yangu kubwa kila siku nawaza kujiajiri kwahiyo hiyo itakuwa gud ideas sn utaalam wangu ni katika mifugo!
 
Habari wanaJF, nimepata idea kama ya saccoss ila iko tofaut kidogo, iko hivi members tunakuwa tunachangishana maybe kwa miez sita au mitatu inatengemea na idad ya members na mtaji ambao tumejiwekea kwakufanya investment kwenye sector flan mfano kilimo,ufugaji n.k kwa lengo la kila members kupata interest kwa kila mtaji tutakao anzisha. Katka members wao nilkuwa nataka kuwa na wataalam mbalmbali kama wa kilimo, mifugo, uchum na biashara na IT kwajir ya kutengeneza platform ya biashara. Lengo kuu ni kukusanya mtaji ambao utatusahidia kutengeneza business opportunity. Tuliowengi tunaideas lakin atuna mtaji, ufumbuz ni kutengeza platform ambayo inaweza kusaidia kutmiza malengo ya kila mmoja tukiwa straight forward.

Kama kuna mtu anaweza kuongezea mawazo hapo its okay unakaribishwa .

Nawakilisha asanteni.

"Coming together is a beginning, staying together is progress, and working together is success"
Boss mimi ni muumini wa partinership lakini watu ni wagumu kujitolea wanataka leo na kesho waone pesa, hata hivyo ni wazo zuri nipo tayari kuungana nawe, tafuta muda tujadili
Good idea, nimeichukua
 
Ni wazo zuri mkuu na kama ukipata vijana kuanzia watano its ok mwaweza anzisha a company ila msiwe risk analyzers sana maana mnaweza mkashindwa kufanya chochote. Mimi nilishakua na hilo wazo na nimewatafuta watu ambao naxifahamu tabia zao nikaongea nao tukakubaliana kila mtu awe na share yake na tukatengeneza agreement now tuko kwenye process ya usajili. Mimi kwa sasa Niko Dodoma nasoma degree project planning, management and community development kama nitahitaji kutanua wigo nitakucheck kuanzia next year mwez wa kumi
 
Back
Top Bottom