Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,246
- 1,727
- Thread starter
- #61
Ndiyo mkuu sipoVp mkuu kuna majina mengine kama 100+ yametoka, bado haupo?
Ndiyo mkuu sipoVp mkuu kuna majina mengine kama 100+ yametoka, bado haupo?
Yametoka lini haya?Vp mkuu kuna majina mengine kama 100+ yametoka, bado haupo?
Kwanini unasema hivyo mkuu...nipe location ya sehemu wanayotafuta mtu wa namna hiyoDuh!! Unakosaje kazi na
Ba-Mathematics apo kuna shida mkuu.
Hata wa masomo ya science kuna wengi ambao wameachwa mkuu
Cheki kweny web yao tamisem..juz yametokaYametoka lini haya?
Location?Mimi natafuta mwalim wa HISTORY NA GEOGRAPHY. wa A-level
Duh mkuu hapo nafundisha somo moja tu geography katika hayo mawiliMimi natafuta mwalim wa HISTORY NA GEOGRAPHY. wa A-level
Hongera kwa kuwa na ndoto nzuri mkuu...kuna siku ndoto zako za kufanya appointment ya majina tamisemi zitatimiaWenye ufaulu hafifu ndo tuliwaacha. In short nashiriki kifanya appointment za maticha tamisem