Natafuta shamba kwa ajili ya ufugaji kuku

Idd Omary

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
250
37
Wadau naulizia utapatikanaji wa shamba la kufuga kuku, either katika mikoa Dar, Arusha, Moshi, Pwani(Ruvu) Tanga, Moro hata Singida, sehemu moja wapo.
Kama lipo mniambie na gharama za kukodi, nahitaji msaada wenu, maana hapa naandika project upatikanaji wa eneo ndo unazingua, tusaidiane hatushindwana hata kwa soda.

Kuku hao ni wa kienyeji na kisasa, kiasi cha shamba ni heka moja au mbili.

Asante
 
Wadau naulizia utapatikanaji wa shamba la kufuga kuku, either katika mikoa dar, arusha, moshi, pwani(ruvu) tanga, moro hata singida, sehemu moja wapo,
Kama lipo mniambie na gharama za kukodi, nahitaji msaada wenu, maana hapa naandika project upatikanaji wa eneo ndo unazingua, tusaidiane hatushindwana hata kwa soda

kuku hao ni wa kienyeji na kisasa, kiasi cha shamba ni heka moja au mbili.
Asante

Mi naomba nishirikiane na wewe katika uandishi wa hiyo project, maana na mimi ninayo ya kwangu, ningetamani tuongezeane ujuzi.
 
Wadau naulizia utapatikanaji wa shamba la kufuga kuku, either katika mikoa Dar, Arusha, Moshi, Pwani(Ruvu) Tanga, Moro hata Singida, sehemu moja wapo.
Kama lipo mniambie na gharama za kukodi, nahitaji msaada wenu, maana hapa naandika project upatikanaji wa eneo ndo unazingua, tusaidiane hatushindwana hata kwa soda.

Kuku hao ni wa kienyeji na kisasa, kiasi cha shamba ni heka moja au mbili.

Asante

Mkuu out of learning curiosity, unaweza kushare hiyo project please. Nina hamu sana ya kufuga kuku wa kienyeji coz eneo ninalo.

Lets share Mkuu.
 
Nipo kikazi Manyara ila familia yangu ipo Moshi mjini na nina eneo la kutosha kufuga. I just need some ideas.

Tuanzie hapa.Nia ni kufanya mradi kwa ajili ya kitoeo au kibiashara?.Na nina muangalizi?,unategemea uanze na wangapi,na unataka mradi ufikie ukubwa gani!.Nikijua hilo basi tunaweza share mawazo na wengine watachangia
 
Wadau naulizia utapatikanaji wa shamba la kufuga kuku, either katika mikoa Dar, Arusha, Moshi, Pwani(Ruvu) Ta
Kama lipo mniambie sna gharama za kukodi, nahitaji msaada wenu, maana hapa naandika projec ndo unazingua, tusaidine hatushindwana hata kwa soda.

Kuku hao ni wa kienyeji na kisasa, kiasi cha shamba ni heka moja au mbili.

shamba liko mapinga mt 120 kwa 50 zitapatikana na umeme pia utapata.maji ya bomba yako karibu piga 0713535990.
 
Tuanzie hapa.Nia ni kufanya mradi kwa ajili ya kitoeo au kibiashara?.Na nina muangalizi?,unategemea uanze na wangapi,na unataka mradi ufikie ukubwa gani!.Nikijua hilo basi tunaweza share mawazo na wengine watachangia

Nia ni kufanya mradi wa biashara. Muangalizi atakuwepo yaani houseboy. Kwa sasa nina banda zuri tu la block ambalo linaweza kuchukua kuku 1000.

Nia ni kufika kuku 5000 na kuwa na uwezo wa kuuza mayai 1000 kwa siku pamoja na kuwa na mradi wa kukuza majogoo ambapo kila baada ya miezi 7 naplan kuuza majogoo 1000 kwa bei ya 10,000/=

Capital ya kuanzia sio issue. Nataka kufanya hii iwe ajira kabisa yaani after one year baada ya kuanza niache kazi. wakati nikiwa sipo wife atahusika as banda lipo nyumbani.
 
Nimekupata mkuu,naomba no yako nikupigie
 
Wadau naulizia utapatikanaji wa shamba la kufuga kuku, either katika mikoa Dar, Arusha, Moshi, Pwani(Ruvu) Tanga, Moro hata Singida, sehemu moja wapo.
Kama lipo mniambi
Wadau naulizia utapatikanaji wa shamba la kufuga kuku, either katika mikoa Dar, Arusha, Moshi, Pwani(Ruvu) Tanga, Moro hata Singida, sehemu moja wapo.
Kama lipo mniambie na gharama za kukodi, nahitaji msaada wenu, maana hapa naandika project upatikanaji wa eneo ndo unazingua, tusaidiane hatushindwana hata kwa soda.

Kuku hao ni wa kienyeji na kisasa, kiasi cha shamba ni heka moja au mbili.

Asante
mm nin
e na gharama za kukodi, nahitaji msaada wenu, maana hapa naandika project upatikanaji wa eneo do unazingua, tusaidiane hatushindwana hata kwa soda.

Kuku hao ni wa kienyeji na kisasa, kiasi cha shamba ni heka moja au mbili.

Asante
 
Zipo ekari tatu za wazi. Unaweza kukunua au kukodisha. Mimi nafuga ktk eneo la ekari 20 nyingine. Nina mashine za kutotolea vifaranga karibu na shamba. Shamba lipo umbali wa km 2 kutoka barabara kuu iendayo Tanga mjini. Shamba lipo km 16 kutoka Tanga mjini. Nipigie 0658 288 733. Nataka jirani ili tuwe na economies of scale. Ofa hii mwisho ni tarehe 30 April. Baada ya hapo naweza kuwa na mipango mingine.
 
eneo kyaraka mapinga bagamoyo. mita120 kwa 50. zaidi ya eka moja. umeme na maji yanapatikana. piga 0713535990
 
Samahan kutoka nje ya makusudio. Me ninauza shamba maeneo ya kibiti ni zuri kwa ajili ya kilimo. ziko ekari 30 kwa pamoja... mwenye kuhitaji anipm.
 
Back
Top Bottom