Recent content by icca

  1. icca

    JamiiForums Tanzania DEGREE AU MITIHANI YA BODI

    Habarini wakuu. Msaada kidogo. Nina elimu ya Diploma ya ugavi na manunuzi. Sasa nataka kurudi kusoma,ipi nianze nayo niende kusoma shahada alafu baadae nimalizie mitihani ya bodi au niingie kwenye mitihani ya bodi moja kwa moja na shahada niachane nayo? Wazoefu ninaomba ushauri
  2. icca

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Wakuu, Weekend hii ndefi naomba mnisaidie kdrama ipi nzuri ya kuangalia. Yenye visasi na thriller.
  3. icca

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI-NINA UZOEFU WA ZAIDI YA MIAKA 8.

    Habarini Wana jukwaa. Nimekuja mbele Leo kutafuta connection, Network ya kazi. Nina uzoefu wa miaka 8 kazi za Administration, procurement and logistics. Nina uzoefu nmefanya kazi kwenye Mashirika na pia kwenye sekta binafsi. Nipo tahari kufanya kazi mahali popote. Kwa Maelezo zaidi pamoja na...
  4. icca

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mzee Mwenzangu tumalizie Ungwe(ke)

    Niko apa mzee mwenzangu
  5. icca

    JamiiForums Tanzania Written interview - Mott MacDonald

    Yoyote Mkuu, Ila Lengo ni kujua kinachoendelea, majibu ya written yalitoka? Kama una ayo majibu itakua vizuri.
  6. icca

    JamiiForums Tanzania Written interview - Mott MacDonald

    Hello wana jukwaa. Mwishoni mwa mwezi wa tano, kulikua na usaili wa kuandika Mottmac Dodoma, wakasema watatoa majibu ndani ya wiki mbili. Wiki mbili naona zimeisha. Kwa waliofanya usaili uo kuna lolote linaendelea uko, mmepatamajibu yoyote. Na kama kuna mtu humu ndani wa organization io...
  7. icca

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inauma sana na haivumiliki

    Mkuu, inaonekana ina positive mind set na jambo ili, nina swali kwako mkuu, unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto?ukampenda mwanae,ukamhudumia na kumsomesha kama wako?
  8. icca

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti aliyeniacha 2020 kisa kupoteza kazi amerudi 2023. Nishaurini hapa!

    NAKAZIA APA..
  9. icca

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia aanza ziara ya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya faida za mkataba wa bandari

    Aisee na io ziara bado atapata posho kwenye ela zetu.Serikali hii ni kichefuchefu
  10. icca

    JamiiForums Tanzania Mtu gani alikuja katika maisha yako alikusaidia na kuondoka

    Mwaka 2017 Nilienda kufanya usaili kwenye NGO moja ivi dodoma, kwenye usaili ule majibu mengi ya uzoefu nilidanganya, ila yule mwanamke aliekua ananihoji alinipenda. Akanisaidia sana kupata ile kazi, na baada ya kuipata akaniambia najua ulikua unadanganya ila nilipenda ulivojiamini. Tukawa wote...
  11. icca

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliooa wanawake kutoka Kigoma (Waha/Muha) tupeni uzoefu mnavyoishi nao na tabia zao

    Mje mtuambie na sifa za wanaume wa kiha
  12. icca

    JamiiForums Tanzania Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Naomba nikazie apa.
  13. icca

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyemtuza mtoto wake ni mwanaume mjinga

    Ambazo zinaweza kua zipi? Natamani kufahamu ata kwa uchache.
  14. icca

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu muandamo wa mwezi

    Khe😅
  15. icca

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu hawawapi watoto wao majina haya?

    Mbona rahisi..zaa wako umpe majina ayo na washawishi na nduguzo
Back
Top Bottom