Mliooa wanawake kutoka Kigoma (Waha/Muha) tupeni uzoefu mnavyoishi nao na tabia zao

Wanasifa ya upambanaji wengi hawataki ugoli kipa wanapenda kujishuhulisha na biashala na siyo kama hawa wengine kutwa vizinga akikupiga kizinga bas cha kumboost kwenye biashala zake
 
Wapambanaji, Kuna m1 ni staff member tumeanza kazi mwaka mmoja 2011 ila simfikii kimaendeleo. Alikaa na mume wake aliyezaa naye mtoto m1, mwanamke akaenda kudai talaka mahakamani akaipata. Toka hapo akapambana akiwa single mother, nadhani huko kwao msomi pekee ni yeye amewachukua ndugu zake, mama ake anaishi nao kwenye jumba lake Kali kabisa. Ila Wana jeuri, wakorofi na wabishi sana.
 
Kama mada inavyojieleza, napenda kujua tabia zao na jinsi ya kuishi na mwanamke Muha kutoka Kigoma.

Maana nimesikia sikia mengi ya ovyo kutoka kwao ila sina uhakika.

Mnijuze.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Kama umeridhika na tabia zake wewe oa tu mwanetu, maisha ni haya haya kuvumiliana tu ila usiruhusu hisia zizidi uwezo wako wa kufikiri..
 
Wapambanaji, Kuna m1 ni staff member tumeanza kazi mwaka mmoja 2011 ila simfikii kimaendeleo. Alikaa na mume wake aliyezaa naye mtoto m1, mwanamke akaenda kudai talaka mahakamani akaipata. Toka hapo akapambana akiwa single mother, nadhani huko kwao msomi pekee ni yeye amewachukua ndugu zake, mama ake anaishi nao kwenye jumba lake Kali kabisa. Ila Wana jeuri, wakorofi na wabishi sana.
Hapa umeongea ukweli wakiwa na kiajira cha kupata mshahara na akaweza kujenga kijumba basi ataleta chokochoko za kudai talaka aishe single mother

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom