Tunaipeleka wapi?
Katiba ipo wapi?
Msimamizi wa katiba!
Wenzetu wanasema elimu aina mwisho sisi tumeiga, ndio maana watu kila kukicha wanasoma uku kama una ujuzi huna elimu unafukuzwa kazi?
Na wengine Africa wajifunze kupitia hili unavyoongoza watu jua unawatumikia wao sio waanze kukuabudu wewe mungu? angejieshimu angeondoka kwa heshima kubwa Sana
Yote ayo yanasababishwa nakatiba mbovu atuwezi kufika kwa style hii ata angekuwa maraika kama katiba aitalekebishwa nae hata weza tunachokisubiri nchi ifikie kupata majanga makubwa (Vita vya wenyewe)
Miaka kumi kupita bila maendeleo yoyote tutakumbuka kuwa katiba ninini
ukiibandika om. barabarani magari yatakuwa yanakunusuru kukugonga[emoji3][emoji3] hela hupati kama zamani.ndoto za usiku kama unaangalia muvi za mazombi
Mtoa maada akapimwe akili utaifa gani nchi inawashinda mapema upendo amani pia uhuru ukitawara tutafika mbali sisi sio viziw wala vipofu yetu Macho uhuni wa serikari ya tano unamwisho wake
Nchi inamshinda mapemaa hata mwaka ajamaliza nchi haiendeshwi na mtu mmoja kupenda sifa kunakera watu kibao fukuza mtu mfunge si mwizi? Kwanini mnatuchezea kiini macho nchi imejawa na ukabila atuwezi kufika jamaa kajisahau sana tena mapema kabana mzunguko wa pesa watu wanakimbia nje ya nch mambo...
Tz nchi ya mizuka wajinga kibao tunaona wanaelewa kazi. Serikari ya awamu ya 5 naifananisha na kitabu chenye title kubwa nzuri kilichopambwa kwa cover zuri alafu ndani akuna lolote empty page tumia akiri fatilia kwa kina utaona watu waoga kutetea haki zao wanaungana na mzuka hata kwa kinafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.