Jipatie Logo au Label + Ofa ya bure ya design za letterhead, biz Card & invoices

LOGORIDDIM

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
1,040
2,000
SPECIAL OFFER!
Kwa kila kazi moja ya kutengeneza logo utakayofanya na mimi Utapata offer ya bure ya
1. Proforma Invoice Template.
2. Tax Invoice Template
3. Delivery note template
4. Headed Paper Template
5. Biz Card Template

Email: logoriddim@gmail.com
Ili kujiridhisha juu ya uwezo wangu Tafadhali tembelea:

Mfano wa kazi za wateja.
View attachment 306929

Karibuni sana.

ImageUploadedByJamiiForums1448163450.493449.jpg


ImageUploadedByJamiiForums1448163509.444177.jpg
 

salaniatz

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,733
2,000
mkuu kuna haja ya kuwa na logo mbali mbali kwa kila huduma mf baresa anatumia logo tofaut ktk kila huduma usafir,vinywaji nk au moja tu yatosha ktk huduma zote...........kwa maulizo mengine ni iv kuna main logo na sub logo?
 

kisiki kizito

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
634
1,000
Mkuu hata kama Nataka YA kynitambulisha.. Mm myb niwekee Kwenye nguo zang... Na vitu vinavyonihusu inawezekana
 

kluger

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,073
2,000
Je ili kuandaa logo yangu utahitaji information gani za kampuni yangu? Je unatoa business card na headed letter pia? ? Ahsante sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom