Recent content by HydoxyCloroquine

  1. HydoxyCloroquine

    Mke wa baba mchungaji kapata watoto watatu nje ya ndoa. Baba mchungaji amekwazika anaomba waumini tumpe ushauri

    Pole kwa mkasa wako. Wakati unaopitia Ni wakati mgumi Sana, ipe Moyo na tambua Ni jaribu ambalo Mungu amekupa ili uweze kulishinda. Hakuna kitu hata kimoja ulichokiomba Mungu akakunyimba, ulimwomba mke kakupa, watoto kakupa na isitoshe wanatumia Jina lako. Hunatofauti na familia ambayo ilitaka...
  2. HydoxyCloroquine

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Sio lazima, WhatsApp kwenye PC una option 2. 1 yakuscan kwakutumia web. 2 unaistall BlueStacks app in your PC the. Unatumia Kama kawaida. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. HydoxyCloroquine

    Mrejesho: Nafanyiwa sexual harassment na msichana wangu wa kazi

    Kwanza pole. Inaonesha mkeo si mwaminifu na hapo anatengeneza mazingira ya kukutupia wewe mpira ili uwekama source ya kugombana kwenu. Usifurahie tu umeshinda jaribio Ila chunguza nyuma ya pazia usikute wife kashaliwa na kanogewa huko so anatafuta mbinu akupige chini.. Sent using Jamii Forums...
  4. HydoxyCloroquine

    Mke wangu bado anawasiliana na Ex wake

    Kaka nakushauri. Mpaka hapa invyonekana wewe unampenda Sana huyo mwanamke, Ila usiangalie umetoka naye wapi chakufanya mpe muda aendelee kuwa nahuyo jamaa yake. We ikiwezekana Anza upya unawezapata tulizo la moyo wako. Ila ukiendelea atakuua huyo.. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. HydoxyCloroquine

    Msaada wa mawazo kwenye haya mahusiano yangu

    Wewe ndo kichwa cha familia kama hakusiki Sasa hivi usitegemee atakusikia mkifunga ndoa. Kama moyo wako una sita piga chini mapema tafuta mwanamke mwingine .. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. HydoxyCloroquine

    Nauza vitu vya ndani..

    Hiyo TV Stand Bei gani na water dispenser
  7. HydoxyCloroquine

    Ushauri wa Shemeji Yangu

    Endeleza story acha usingizi wewe,Tupe madini kamanda.. [emoji23][emoji23]
  8. HydoxyCloroquine

    Sijui nina mkosi gani...

    Pole kwa mkasa wako.. Ila nikushauri hupaswikukata tamaa kiasi hicho, Kwanza kabisa ondoa hayo mawazo ya kushindwa miaka yote umepambana kusoma hukushindwa Leo inakuwaje ukatetamaa kwaajili ya kukosa ajiri. Tuko wengi Kama wewe tuko mtaani tunapambana na tumemaliza vyuo tena hapo udsm COET na...
  9. HydoxyCloroquine

    Simba yajiandaa na upigaji penati Lubumbashi

    Simba 1-4 TP Mazembe Sent using Jamii Forums mobile app
  10. HydoxyCloroquine

    Zitto Kabwe: Tamko la jana la Serikali ya Tanzania na Barrick Gold lililenga kupoza bei ya Dola, lakini soko limegoma...

    Dah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]..Mungu anakuona aise.. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. HydoxyCloroquine

    Nimeshindwa kuomba namba ya mdigo nimempa mimi yangu ndo uwezo wangu

    Mbinu za kivita [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. HydoxyCloroquine

    Jamhuri yampandisha kizimbani Emmanuel kwa kutoa (Publication) taarifa za uongo kuhusu KICHAA

    Nikweli hapo jamhuri haitaweza shinda kesi ila Jamaa ajiandae kuchunguzwa uraia wake.. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom