Ushauri wa Shemeji Yangu

Ushauri wa Shemeji Yangu

Kuwasaidia hakuishi. Haina maana ukiolewa ndio basi umeiaga familia. Na haina maana hata ukiwajengea ndio basi tena hutawasaidia.

Na kwa wazazi, kumsomesha mtoto sio investment yako, eti kesho ikulipe. It is your duty and obligation kumpa elimu mwanao. Kama unataka kulipwa muandikishane mkataba na huyo mwanao.
Hakuna mahali nimesema ni investment, na hata kuwasaidia wazazi si lazima, ni vile tu mtu anaamua kujitoa. Kuhusu kuwasaidia wazazi ukiwa single au umeolewa inategemea aina ya mtu uliyenaye wengine wanabana haswaa unajikuta unashindwa kutoa msaada kwa namna inayokuridhisha, hata hivyo kupanga ni kuchagua....she was not meant for you na yaliyotokea yalimetokea kama bahati mbaya na pengine angeolewa na wewe yangempata mabaya zaidi.
 
Ukweli mchungu huu. ...wazazi wengi wa kiafrica wanahizi mindsets za kifala. .na ndio Zinazo turudisha nyuma daily. ...

Unakuta mtu ameanza kunyanyuka kidogo tu kiuchumi basi anafanywa kuwa ni tegemezi wa ukoo mzima --mbaya zaidi na anaye tegemewa kiasi hicho anaona sawa tu...

Hajui kuwa endapo hautojipanga vyema zaidi suala la kuwa na uchumi mkubwa na kushuka kiuchumi ni la muda tu
 
Mkuu nielekeze nije na cameraman hapo site ili tupate picha safi kabisa

Ushaur: itapendeza ukienda bila demu wako mpya ili ushobokewe
HAPANA KABISA NI VIZURI ZAIDI AENDE NA MTU WAKE KAMA ALIVOPANGA TANGU MWANZO BILA KUJUA ATAMKUTA NANI HAPO SHAMBA KIWANJANI..YEYE ASIANZE MAGIZIO YA KUENDA MWENYEWE..AENDE NA MTU WAKE
 
Hakuna mahali nimesema ni investment, na hata kuwasaidia wazazi si lazima, ni vile tu mtu anaamua kujitoa. Kuhusu kuwasaidia wazazi ukiwa single au umeolewa inategemea aina ya mtu uliyenaye wengine wanabana haswaa unajikuta unashindwa kutoa msaada kwa namna inayokuridhisha, hata hivyo kupanga ni kuchagua....she was not meant for you na yaliyotokea yalimetokea kama bahati mbaya na pengine angeolewa na wewe yangempata mabaya zaidi.
NA PENGINE angeolewa na jamaa ingeuwa ni wasaa wa huyo dada kuchange na kukaa kwenye line baad aya changamoto, au mapito fulani halafu akae sawa..pengine ile ilikuwa pia ni bahati nzuri kwake ila akaipiga TEKE, mwisho ameenda kwenye BAD LUCK ......so assumption sio tu yangemkuta mabaya MAZURI yangemkuta ila yeye aka na EGO
 
Asa bi shosti unaolewa ukiwa 45 ata huko bed niki kuweka dogy styl unasema huwezi ni nn sasa
Huwezi kulipa fadhila ila unaweza kuwasaidia ingawa yeye kwa maelezo yako wazazi wake hawakuwa na hali ngumu kiasi cha kuhitaji attention yote hiyo. Nasema namuelewa because my sisy did the same. Aliahirisha mambo yake kama kuolewa na kujiendeleza kimasomo ili atusaidie sisi walau kusogea. Aliolewa late na ndoa yake haijadumu. Tofauti ni kwamba yeye hadi leo yupo strong, bado ni mtu ambae tunamtegemea kwa kiasi kikubwa
 
Hakuna mahali nimesema ni investment, na hata kuwasaidia wazazi si lazima, ni vile tu mtu anaamua kujitoa. Kuhusu kuwasaidia wazazi ukiwa single au umeolewa inategemea aina ya mtu uliyenaye wengine wanabana haswaa unajikuta unashindwa kutoa msaada kwa namna inayokuridhisha, hata hivyo kupanga ni kuchagua....she was not meant for you na yaliyotokea yalimetokea kama bahati mbaya na pengine angeolewa na wewe yangempata mabaya zaidi.
Acha kujifariji na misemo ya bahati mbaya. Ukifeli be responsible.
 
Back
Top Bottom