Hahahhq[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mambo ya kuvumiliana kwenye ndoa ni mawili tu,
1. Mpolomoko wa uchumi
2. Maradhi
haya mengine wanaume wenzangu sijui mnayatoa wapi tu.
Ushauri mzurimkuu hujui ufanyeje, wanaume tunapungua sana aiseee.....
Sasa nakupa ushauri huu.
Muite huyo EX wake muishi nae kwako muwe mnapokezana kulala na huyo mke wenu
KabisaSuala kama hili sio la Kuomba ushauriii acha uboyaaa... FUKUZAAAAAAA MBWA HIYOO
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala kama hili sio la Kuomba ushauriii acha uboyaaa... FUKUZAAAAAAA MBWA HIYOO
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu kapenda mke wa mtu.Tatizo unampenda sana....