Sijui nina mkosi gani...

Sijui nina mkosi gani...

si naskiaga UDSM huwa ina retain wanaofaulu vizuri ili wafundishe...??

Pole,fundisha study skills kwa undergraduates..tumia njia ulizotumia kufaulu fundisha wengine njia hizo especially mature students jinsi ya ku cope na life la chou ...
 
Ma.mae raia washafinya nyota. Kijana hili game kwenye ulimwengu wa roho lazima uwe mbabe.

Watu wana Vyeti hivyo hivyo wanajaza vibubu. Shaur lako.

Hangaika Kijana.
 
Pole kwa mkasa wako.. Ila nikushauri hupaswikukata tamaa kiasi hicho, Kwanza kabisa ondoa hayo mawazo ya kushindwa miaka yote umepambana kusoma hukushindwa Leo inakuwaje ukatetamaa kwaajili ya kukosa ajiri. Tuko wengi Kama wewe tuko mtaani tunapambana na tumemaliza vyuo tena hapo udsm COET na hatuna kazi za ajira lkn Maisha yanaenda imefika mahali hata ajira ikitokea siwezi omba maana hata walioajiriwa hawanifikii. Usikate taama Mangi Pambana
 
Kwanini vijana wengi wanalilia kuajiriwa? Hivi huna jamaa vijijini ukaenda kule kununua japo kuku,mbuzi kwa mkopo halafu ukaleta mjini na kuuza. Ukarejesha hela yao na faida ukaanza kuizungushia. Au nenda kijijini kwa mwaka halafu wakati wa mavuno chukuwa asilimia flani ya mazao kwa njia ya mkopo. Ukishauza rejesha hela yao na bakia na faida rudi tena kijijini nunua bidhaa zitakazo leta faida mjini. Kuna njia za kujinyayua kimaisha huhitaji hata jero, yaani vijana wengi wana akili kama rafiki yangu. Ana hiyari abaki kitaa lakini anataka apate kazi ya ofisini na mpaka leo mwaka wa 3 hana lolote.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ndukiiiii ‍♂️‍♂️‍♂️
Akanunue Mikuku,na inavotisha vile mtafutie shughuli za kinadhifu nadhifu bradha.
 
kurudi shule kwangu sio tatizo... tatizo ni nano wa kunilipia ada tena ??
Hata ungesoma nini ajira kwa sasa hamna. Jaribu kutafuta plan B. Maisha hayana formula maalum
 
Naandika kwa herufi kubwa; ALIYEKUAMBIA UKISOMA HADI CHUO KIKUU NI LAZIMA KUAJIRIWA NDIO MCHAWI WAKO
 
kujiua sio solution,na kama itabidi basi fanya kitu kitachofanya jina lako liishi milele
 
This thing is so intense...Kuna wakati hii hali (suicide) hata mimi inanikuta pia ila najipa moyo nanyanyuka tena life linasonga. Maumivu ya kukosa ajira hayaelezeki jamani
 
Upuuz mtupu mm mwaka wa tatu huu sina ajira na nimesoma kozi nzuri tu muhimu kubali maisha sio kuajiliwa tu pambana kila uwezavyo utatoboa tu,
 
Ma.mae raia washafinya nyota. Kijana hili game kwenye ulimwengu wa roho lazima uwe mbabe.

Watu wana Vyeti hivyo hivyo wanajaza vibubu. Shaur lako.

Hangaika Kijana.
Mkuu em nieleze pa kuanzia kuhangaika
 
Ma.mae raia washafinya nyota. Kijana hili game kwenye ulimwengu wa roho lazima uwe mbabe.

Watu wana Vyeti hivyo hivyo wanajaza vibubu. Shaur lako.

Hangaika Kijana.
nimekuelewa sana mkuu
 
Hustle zako Mungu aliziona na alizifanikisha
I think kwa hili la ajira muda bado
Usikate tamaa coz hizo hustle Mungu aliziwezesha kwa sababu maalum
 
  • Thanks
Reactions: usy
Back
Top Bottom