Friji likifika 200k nichek maana hata kama ndo udalali mzee baba sio hivyooMwenye viti akiona hii post anaweza kuzimiaa













Nina 40k 😹😹😹😹😹😹Leta 300k![]()
Hebu nichekia,tv inchi 32 wanauzaje hapo karibu na duka ulilopoEti jiko plate 2 200k
Flat 700k aloo...
Hapa nilipo natazamana na duka la kuuza hvyo vitu nacheka tu
Jamaa anatamaa sana,anauza bei ya dukani wakati ivyo vitu ni mtumbaKettle 60000 imepita mpaka bei ya dukani jumia tu wanauza elf 18000
Akafanyie udalali wake uko masakiDalali uyu
hahaaaaa mwenyewe nimemuwazia muuzaji,Friji likifika 200k nichek maana hata kama ndo udalali mzee baba sio hivyooMwenye vitu vyake akiona hii post anaweza kuzimiaa
hahaaaaa mwenyewe nimemuwazia muuzaji,
mwenyewe unakuta mtu wa watu hana shida fridge anauza elf 80,
madalali wa kibongo bila kuongeza hawafurahi,
waweza umpe dili lets say umepigiga unauza figo moja, yy akija kutangaza anasema kuna mtu anauza figo mbili na maini.





Figo na maini kaongeza na moyo ikiwezekana maana duuh bei za dukani zenyewe hazifui dafuAina gani..Hebu nichekia,tv inchi 32 wanauzaje hapo karibu na duka ulilopo
Bei yake ni kiasi ganiAina gani..
Zipo star x
Lg
Samsung
Ukumbuke zipo smart tv na zakawaida bei zinatofautiana
@mosskissFridge kula laki tano
Hii ni ORIGINO dada inachemsha mpaka makande dada HAPANA cheza nayo.Kettle 60000 imepita mpaka bei ya dukani jumia tu wanauza elf 18000