Recent content by Hurricane

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kwa heri samson mwigamba

    Mkuu umemaliza. Imeeleweka.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Chai, maridhiano, maelewano = katiba mpya

    Nimecheka Sana hiyo waiter!
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mnyika amuweka Maghembe kitanzini

    Hapo kwenye red hapo, pako sawa kweli wajameni?????
  4. H

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu mstaafu Cleopa Msuya azua sintofahamu MOI

    Ndugu wana JF, Wengi wetu nadhani mnafahamu kuwa Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Cleopa Msuya ni mgonjwa hadi Mkulu alienda kumjulia hali majuzi. Habari nilizozipata mida hii toka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa huyu bwana alipata fracture ya femur jumatatu amabayo siyo complicated na...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa rais

    Kuzindua hata vyoo.....!
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kada wa CHADEMA amteka mtoto Dar

    Hawa walioandika hii habari si waandishi bali waganga njaa tu. Hakuchukuliwa mlimani city bali kwenye baa moja mtaa huohuo wa nzasa panaitwa kwa afande na hata hiyo zawadi ya baisikeli aliyoletewa huyo mtoto na baba yake bado ipo hapo bar imehifadhiwa kaunta. Mimi nilifika eneo la tukio dakika...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mikael P Aweda kuishambulia TBC kupita ITV. Maoni yangu.

    Hiyo ya chini ni Kumi elfu na moja. Kalale....
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nchimb na Mwema Wanasubiri nini Ofisini?

    Haujasikia maelezo yake wanavyopishana na Kamanda wake Kamuhanda?? Yaani sanaa tupu... aibu yao aibu yetu??
  9. H

    JamiiForums Tanzania Power Breakfast na Kimombo- Super Sport Interview

    Ramadhan Kareem wana jamii. Jana katika kipindi cha Power Breakfast Clouds FM walialikwa reporters wa supersport katika mashindano ya kagame. Kwa wale wenzangu wachache mliopata angalau nafasi ndongo ya kuwasikiliza watangazaji wetu kina Hando na wenzie mnaweza kutathmini kiwango cha ndunguzetu...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kwa hili vyama vya upinzani hususani CHADEMA sijawaelewa

    Wanzipinga kwa sababu zina mapungufu lukuki kama unavyosikia michango yao makini wakihitaji maboresho ikiwa ni pamoja na hayo mafungu kwa majimbo yao yawekwe. Sasa hapo hauelewi nini?? Acheni hizo bana..
  11. H

    JamiiForums Tanzania Hardtime for chadema

    Bolded red!! Mmmh... Hatujipendekezaki hivyo. Kwa ulichoandika kwenye thread hii, wewe ni gamba tu....!
  12. H

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    I do concur with you sir/madam. Hili jambo hata mie huwa linanishangaza sana, yaani mtu mpaka unakuwa waziri lakini hujui majukumu ya mbunge ni nini, kweli tanzania bado sana. Eti wanataka mbunge ndio apeleke maji, barabara, hospitali n.k. Kwa kodi ipi anayokusanya?? Huu udhaifu wao sijui...
  13. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wafanya Press Conference; yaliyojiri Singida- Ndago na yatokanayo

    Du!!!!! How do you feel after writing this???
  14. H

    JamiiForums Tanzania Tabora tumepiga hatua katika Sayansi na Teknologia, ushahidi huu hapa....

    Hiyo button ya tatu mlimaanisha TABORA MAIN au MAN???
  15. H

    JamiiForums Tanzania Siku Tanganyika na Zanzibar Tulipopigana Vita

    Hapo kwenye red nimeipendaje!!
Back
Top Bottom