Kada wa CHADEMA amteka mtoto Dar

Kada wa CHADEMA amteka mtoto Dar

Yan nilijua kwenye hichi kiwanda huwezi kukosa, hivi umepata habari za shinyanga mlicho fanya?
Na kwenye ule uzi hujatia maguu.

Chadema mnateka mpaka watoto wadogo ambao hawana hatia.
 
hilo swali lingepaswa kuulizwa mwandishi wa habari wa jambo leo na ndio maana nimeweka source ya habari ni nani?

Mwenye makosa ni wewe uliyepost Taarifa bila kuifanyia upembuzi yakinifu kama inafaa kuletwa humu JF kwa GTs
 
Inaonekana kama sasa hivi usipoitaja chadema kwenye habari yako haupati wasomaji. Vinginevyo sijaona umuhimu wowote wa habari leo kutumia jina la chadema kwenye habari hiyo.
 
du sasa uanachama ndiyo unakuwa utambulisho wa kwanza!!!! .....nimechoka kabisa...
 
mwanamke, Fatma Msuya mkazi wa mwenge nzasa, dar anamtafuta mtoto wake, Daudi Mbura (2), baadaya kutekwa na kuchukuliwa katika eneo la mlimani city na kada wa CHADEMA Gwakisa Mwakasendo.

taarifa za kutekwa kwa mtoto huyo zimeshapelekwa katika kituo cha polisi mwenge toka juzi namba ya rb ni mwe/RB/2648/2012. kwa mujibu wa bi rehema bibi wa mtoto aliyetekwa kuwa bwana Gwakisa ni mtaalamu wa mambo ya upimaji wa teknolojia ya digitali (GPS), wa chadema ambaye ni mkazi wa makuburi mabibo. baada ya kumteka huyo mtoto alizima simu zake za mkononi.

fatma alikua na mahusiano ya kimapenzi na Gwakisa na mwaka 2010 na kumi alipata mimba lakini mwanaume huyo alimtelekeza hadi hapo hapo juzi alipotaka kumchukua mtoto huyo.

kwa upande wake fatma alisema kuwa gari lilomteka lilikuwa na watu wanne mmoja wao ni mwanamke na baada ya tukio hilo mmoja aliacha na gari hilo na alipokuwa akiwasiliana na wenzake alishtukiwa na watu na kuanza kumshambulia kwa kipigo. kufika kwa fatma maeneo ya mlimani city kuitikia mwito wa bw.

gwakisa baada ya kumpigia simu kuwa wakutane neo hilo kwani anataka kumnunulia mtoto zawadi na ndipo bint huyo kufika eneo na kumkuta na zawadi ya baiskeli kubwa ambayo haiwezi kumfaa huyo mtoto. wakati fatma akishangaa hiyo baiskeli ndipo baba huyo alipomchukua mtoto na kukimbia kwenye gari na kuondoka nae.
source: jambo leo

Unatofauti na Philip Mulugo.....neno kada linaweza kutumika vibaya wakati mwingine.
 
Chadema mnateka mpaka watoto wadogo ambao hawana hatia.

Nilijua hii heading lazima ikutoe pangoni. Huyo dada alishawishiwa na ccm kumficha mtoto, sasa baba kumchukua mwanae mnataka kujifanya mna mapenzi nae?
 
Yale yale.... watu walikuwa kwenye mahusiano wengine wanaleta ushambenga. Kama ilivyokuwa kwa Slaa ni demu demu wake wa Zamani.
 
siku hizi habari zinakuwa kwa mtindo huu
Mwanachama wa CCM/CHADEMA atuhumiwa kwa mauaji.
Mwislamu/mkristo ahusishwa na madawa ya kulevya
Zamani habari zilikuwa hivi.
mwanaume flani (jina lake) anatuhumiwa na ujambazi.
Mtu flani (jina lake) akamatwa na madawa ya kulevya.
Hii tofauti ya kutoa habari kati ya zamani na sasa inaashilia nini?
Inaashilia kwamba watanzania tumekuwa wadini sana ndiyo maana tunaangalia sana udini wa mtu.
Inaashilia kwamba watanzania tumetekwa sana na siasa kiasi kwamba mtu anakuwa judged kutoka yeye ni chama gani.
Later hata bar watu watakuwa wanakaa kutokana na itikadi za vyama.
Kwenye mikusanyiko watu watakuwa wanakaa kutokana na imani zao za kidini.
 
Jambo Leo na Habari Leo ni magazeti ya hovyo kabisa na yapo kwa ajili ya kuichafua Chadema tu.
 
Ritz acha kupoteza credibility yako
jiulize kamtekaje mtoto wake? wapi na saa ngapi?
mama mtu alimpeleka mweyewe mtoto akamwachia babake pale mliman city
mzee katamani mwanae kaondoka nae atamrudisha haya ni mambo ya kifamily zaidi
jiulize chadema inahusikae usiwe mtu wa kuhitimisha jambo bila kuhoji
usiwe sawa na PCCB waliotumia ubongo wa samaki kuwinda watoa rushwa UWT kumbe hawakujua hela zimeingizwa kwenye account zao kwa mpsa,tigo pesa na wengine foleni vyooni
Chadema mnateka mpaka watoto wadogo ambao hawana hatia.
 
Chadema mnateka mpaka watoto wadogo ambao hawana hatia.

Badoi tu wewe hawajakuteka Ritz mkuu wangu!!! Ha ha ha ha !! Lakini Ritz kumbe alizaa naye? Ila kwa hapa alitakiwa afuate taratibu za kumchukua mtoto kimahakana tena kwa umri huo ni lazima ithibitike pasipo shaka kuwa huyo mama mtoto hawezi kumtunza mtoto wake kwa sababu ambayo ni verifiable. Kwa nini asingesubiri miaka 7 and above? Lakini pia Ritz ni nani aliyeonesha kuwa huyo Gwakisa ni kada wa CDM? Lakini bora huyu kachukue damu yake kuliko yule Katibu wetu wa Chama aliyezaa na mwanafunzi huko Kusini enzi zile!!!!! Dat is alimbaka mwanafunzi akampa na ujauzito!!! Ha ha ha ha!!
 
Source:Habari Leo.

Kwani kama mtu hana cha kuandika si akae tu asome post za wengine kuliko kupost kitu hakina kichwa wala miguu halafu eti source sijui gazeti gani halieleweki hata.
 
mwanamke, Fatma Msuya mkazi wa mwenge nzasa, dar anamtafuta mtoto wake, Daudi Mbura (2), baadaya kutekwa na kuchukuliwa katika eneo la mlimani city na kada wa CHADEMA Gwakisa Mwakasendo.

taarifa za kutekwa kwa mtoto huyo zimeshapelekwa katika kituo cha polisi mwenge toka juzi namba ya rb ni mwe/RB/2648/2012. kwa mujibu wa bi rehema bibi wa mtoto aliyetekwa kuwa bwana Gwakisa ni mtaalamu wa mambo ya upimaji wa teknolojia ya digitali (GPS), wa chadema ambaye ni mkazi wa makuburi mabibo. baada ya kumteka huyo mtoto alizima simu zake za mkononi.

fatma alikua na mahusiano ya kimapenzi na Gwakisa na mwaka 2010 na kumi alipata mimba lakini mwanaume huyo alimtelekeza hadi hapo hapo juzi alipotaka kumchukua mtoto huyo.

kwa upande wake fatma alisema kuwa gari lilomteka lilikuwa na watu wanne mmoja wao ni mwanamke na baada ya tukio hilo mmoja aliacha na gari hilo na alipokuwa akiwasiliana na wenzake alishtukiwa na watu na kuanza kumshambulia kwa kipigo. kufika kwa fatma maeneo ya mlimani city kuitikia mwito wa bw.

gwakisa baada ya kumpigia simu kuwa wakutane neo hilo kwani anataka kumnunulia mtoto zawadi na ndipo bint huyo kufika eneo na kumkuta na zawadi ya baiskeli kubwa ambayo haiwezi kumfaa huyo mtoto. wakati fatma akishangaa hiyo baiskeli ndipo baba huyo alipomchukua mtoto na kukimbia kwenye gari na kuondoka nae.
source: jambo leo

Hawa walioandika hii habari si waandishi bali waganga njaa tu. Hakuchukuliwa mlimani city bali kwenye baa moja mtaa huohuo wa nzasa panaitwa kwa afande na hata hiyo zawadi ya baisikeli aliyoletewa huyo mtoto na baba yake bado ipo hapo bar imehifadhiwa kaunta. Mimi nilifika eneo la tukio dakika chache baada ya kutokea hilo sakata na ni mdau hapo, si unajua tena mambo ya Kitu Motoz!!!. Kwa maelezo yake binafsi huyo mamam siyo kwamba jamaa alimtelekeza ila wazazi wa binti ndo walimkataa jamaa kwa sababu za DINI. Jamaa alikataliwa kuoa kabisa ila alikuwa kashamdungua hico ki pregnancy. Huyo binti hata jana na leo amekuja hapo bar na jana tulimpiga laga anazinywa kinoma.
 
Watanzania wa leo hawadanganywi kwa habari mfu kama hizi tena toka gazeti ambalo likitoka inabidi wachapaji walinunue wenyewe ili ionekane yanaisha.
 
mwanamke, Fatma Msuya mkazi wa mwenge nzasa, dar anamtafuta mtoto wake, Daudi Mbura (2), baadaya kutekwa na kuchukuliwa katika eneo la mlimani city na kada wa CHADEMA Gwakisa Mwakasendo.

taarifa za kutekwa kwa mtoto huyo zimeshapelekwa katika kituo cha polisi mwenge toka juzi namba ya rb ni mwe/RB/2648/2012. kwa mujibu wa bi rehema bibi wa mtoto aliyetekwa kuwa bwana Gwakisa ni mtaalamu wa mambo ya upimaji wa teknolojia ya digitali (GPS), wa chadema ambaye ni mkazi wa makuburi mabibo. baada ya kumteka huyo mtoto alizima simu zake za mkononi.

fatma alikua na mahusiano ya kimapenzi na Gwakisa na mwaka 2010 na kumi alipata mimba lakini mwanaume huyo alimtelekeza hadi hapo hapo juzi alipotaka kumchukua mtoto huyo.

kwa upande wake fatma alisema kuwa gari lilomteka lilikuwa na watu wanne mmoja wao ni mwanamke na baada ya tukio hilo mmoja aliacha na gari hilo na alipokuwa akiwasiliana na wenzake alishtukiwa na watu na kuanza kumshambulia kwa kipigo. kufika kwa fatma maeneo ya mlimani city kuitikia mwito wa bw.

gwakisa baada ya kumpigia simu kuwa wakutane neo hilo kwani anataka kumnunulia mtoto zawadi na ndipo bint huyo kufika eneo na kumkuta na zawadi ya baiskeli kubwa ambayo haiwezi kumfaa huyo mtoto. wakati fatma akishangaa hiyo baiskeli ndipo baba huyo alipomchukua mtoto na kukimbia kwenye gari na kuondoka nae.
source: jambo leo

Tafakari kabla ya kuleta mada hapa
1) Hiyo habari inaihusu nini chadema.
2)Mtoto ni mali ya nani? -kaenda kwao kwanini akae utumwani?
3)Nina shaka umetumia. (Au umetumika???)
 
Anatoka tawi gani na kadi yake ni namba ngapi? Hivi ushankupe utawafikisha wapi?
 
Back
Top Bottom