Nimeusoma kwa makinina kuurudia mara kadhaa bandiko lako katika mtandao ulioandika ukionyesha hisia zako na jinsi unavyotuhamasisha sisiwanaChama tuwangoe viongozi wa chama taifa.Umekuja na ngonjera zilezile ambazowapo watu wa aina Fulani wazandiki wamekuwa wakiziimba kwa muda mrefu.
Inaonekana unazohoja.Lakini mwenye akili akisoma alama za Nyakati na kutazama majira tuliyonayohatakuwa na shaka jinsi ulivyodhamini fikra na uhuru wako kwa mambo yasiyodumu.Tulikuwapamoja tukipigania mambo yanayodumu kwa mustakabali wa taifa tulipendalo laTanzania.Wakati usingetutosha kuelezea mengi uliyoyafanya kwa kushirikiana namakamanda wengine kuhakikisha Ukweli unashamiri na uhuru wa Ukweliunapatikana.Wengi ulituvuta kwa makala za Kizalendo za Kalamu ya Mwigamba,ambapokesho zikiendelea kutoka sitathubutu kununua gazeti la Tanazania daima,labdagazeti la Uhuru na Tazama ambayo kwangu ni magazeti mfu sithubutu htakuyatazama.
Napajua uendako nikwenye gwanda la kijani hapo akaapo shetani.Ni maamuzi ambayo umeyapima faidazake.Nenda.Unalifuta jasho lako kwa ahadi za mambo yaharibikayo.Nenda.Sisituliobaki tumeokota silaha uliyotupa tunaendeleza mapambano.Hatutarudi nyuma.Nimbele tu.Tutapambana mpaka tuipokee mede ya thawabu,ni hiyo Tanzania mpyatuitakayo ambayo kama si sisi basi wajukuu zetu wataifurahia na kuishi kwaamani na umoja na upendo,si huu unafiki wa kitambo.Nenda.Unajua jinsi opereshiSangara,M4C zilivyokutana na mikingamo mingi ya mara kwa mara na zilivyogharimuhata maisha ya watu.Unajua dhamira iliyokuwapo kwa kila kiongozi CHADEMAkuhakikisha chama kinapanuka na kufika hata vijijini.Unataka kusema niniMwigamba kwa Mbowe Je,chama hakijakua? Wanachama hawajaongezeka? Hivi pamoja najuhudi zote hizi Uongozi taifa haujafanya lolote,.Mwenyekiti hakunaalichokifanya?
Achilia mbali katibaambayo unafiki wako waweza kuwa ndio ulikuponza kutolalamika siku zote,kamakuna ukweli,.mwenye busara anajiuliza ulikuwa wapi siku zote? Mwingine ambayehatumii akili kubwa atajiuliza inakuwaje tuhuma za ufisadi zinaibuliwa kipindiambacho kuna vuguvugu la ukaguzi wa fedha za ruzuku za vyama vya siasa.Je,nimwendelezo ule ule wa watu walewale waliopinga M4C,wabinafsi wasiotaka Umoja,wabinafsiwanaopenda sifa,wabinafsi wenye hoja binafsi wakati wote si hoja za Chamawanachokiongoza,ingawa kuna uhuru wa mawazo yao?
Tumeuona mwishowako.Kwa kuwa malengo yako si malengo yetu.Tulikupenda CCM imekupenda zaidi.Uwena safari njema huko uendako.Wasalimie Kabouru,Shitambala na wadogo zakeJuliana na Mwampamba ambao wamefika walipotaka.Umepoteza imani na kila mtu.Usihangaikesana na kuwashawishi usiowaona kama mimi.Kalamu ya Mwigamba ilitoshakutushawishi,lakini leo haitawezekekana tena.Hatuna imani.Kamanda Mbowe songa mbelekazi yako tumeiona,ni mpuuzi tu anayejifanya haoni mwezi ndio anahoji juhudizako.Msisumbuke na huyu kijana msaidieni kupata Ukuu wa Mkoa kama alivoahidiwana viongozi vipofu wanaovaa miwaniya lenzi ya kukuzia ili kukuza ugali mkubwa baada ya kuwa na njaa kali.Samson aliyekuwa kamandajemedari,mstari wa mbele amepigwa risasi moyoni.Hatunaye tena,ametangulia mbeleya CCM.Sote tuenzi yote aliyoyafanya alipokuwa yungali nasi.MamaNtilie,Bodaboda,Wakulima,Wafanyabiashara,wafanyakazi maofisini,wanafunzi,yatimana wajane watakukumbuka kamanda.
Kwa Heri SamsonMwigamba.