Recent content by hsbaky

  1. H

    JamiiForums Tanzania Huduma na Bidhaa za HALOTEL

    Ndugu Zangu hali zenu, Natumia ipad, kuna namna ya kujiunga na bundle bila kutoa line na kuweka kwenye simu nyingine? (ipad ninayotumia haina namna ya ku-dial au kutuma sms za kawaida). Naomba msaada wenu wataalam
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Safi sana. Nilikuwa najiuliza sana kuhusu haya mambo.
  3. H

    JamiiForums Tanzania World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    Ilikuwa vita nzito
  4. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Godoro gani zuri?

    Waheshimiwa, Hawa Tanfoam original kwa Dar wanapatikana wapi. Maana siku hizi kama ni kuingia madukani tu lazima upate kitu "KIMECHAKACHULIWA"
  5. H

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya kusisimua- Mimba ya Jini

    Hii hadithi ni nzuri sana na ya kuvutia . Ina mafunzo pia . Naomba wale watundu na wabunifu waiendeleze. Naona kama mwisho wa hadithi unaashiri kuwapo kwa uwezekano wa kuendelea kwa sababu ya maswali kadhaa yanayojitokeza baada ya kuifunga. Asante sana mzizi mkavu. Tuletee kisa kingine cha...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya kusisimua- Mimba ya Jini

    Nafurahia ubunifu
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya kusisimua- Mimba ya Jini

    Ubunifu wako nimeupenda . Keep it up. Ukituanzishia hadithi nyingine ukapiga moja kwa moja bila kupumzika itakuwa poa.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tv apps kwa ajili ya ipad au android gadgets

    Wadau, Niwashukuru tena. Feedback: 1. Kwenye android nimefanikiwa kupata Africa TV Plus, ila kama alivyosema kaka pale ipo Star tv na inapatikana kwa shida kidogo. Hii app haipo kwenye Ipad na jamii yake. 2. Kwenye Ipad mpaka sasa nimefanikiwa kuweka app ya DSTV ambayo kwa kiasi kikubwa naona...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tv apps kwa ajili ya ipad au android gadgets

    Waheshimiwa, Nawashukuru sana kwa ushauri. Nafanyia kazi kisha nitaleta mrejesho.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Tv apps kwa ajili ya ipad au android gadgets

    Wanajamvi Nawasalimia, Naomba kwa wataalamu wa masuala ya mobile app, mnisaidie. Nimekuwa nikisaka application ya luninga ambayo naweza kuitumia kwenye either IPAD, IPHONE au kwenye tabs za Samsung. Nipo mbali na home na ningependa kupata matukio ya TV zetu za nyumbani na za majirani zetu. Asanteni
  11. H

    JamiiForums Tanzania Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Jamal Tunakushukuru kwa kuungana nasi kwenye uzi huu ili tukupe ushauri na maswali. Swali ; Kumekuwepo na manung'uniko juu ya kuiendesha TFF kwa misingi ya ukabila, hasa ukipendelea watu wa Kabila lako. Unaweza kulisemea vipi jambo hili ili kuwahakikishia Watanzania soka lisilo na mizengwe?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wa setting za internet katika simu.

    Viongozi heshima yenu. Nimebadili simu, hivi sasa nimechukua Samsung galaxy S 4 duo. Nimeweka settings kwa kuandika "internet" kwenye APN bado Sipati internet. Naomba msaada wenu wa settings sahihi. Natumia Airtel, kwenye line kuu.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Rest in Peace N. Mandela. Rest in Peace Kiwatengu

    RIP Madiba Wenye busara, wavumilivu na wasamehevu wanazidi kupungua Duniani. Ulimwengu utakukumbuka.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Tra wafanya kweli tatizo la road license

    Kiongozi, Hata kama kuna gharama za sms, haziwezi kulinganishwa na mausumbufu ambayo tumekuwa tukiyapata kwa kupata kitu kidogo kama sticker au card. Ni kweli kama alivyo sema mkuu hapo adha ya : 1) Foleni 2) Muda 3) kujibiwa hovyo 4) pesa za hongo 5) Usafiri wa kwenda na kurudi 6)...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Tra wafanya kweli tatizo la road license

    Kiongozi Angalia tangazo lao nimeliambatanisha hapo jinsi ya kulipa na kupata sticker au card yako.
Back
Top Bottom