Recent content by holowane

  1. H

    Msaada: Chuo cha muziki/bendi

    Kuna chuo cha muziki sinza kinaitwa New Gen pale karibu na kumekucha kitakusaidia sana kufikia malengo yako.
  2. H

    Barua ya Papii Kocha kwa JK

    Whatever goes around, comes around. Kama si yeye basi kizazi chake kitakutana na hayo anayowanyia wenzake. Mungu ibariki tanzania
  3. H

    Nitakabidhi nchi kwa CCM: JK

    Sishangai kwa kauli za jk kwani mara nyingi huwa ccm wanaropoka pasipo kufikiria madhara ya kauli zao. Huwezi kutamka maneno kama hayo katika nchi ya kidemokrasia na kama si ya kidemokrasia ni bora watangaze wazi kwamba hakuna kuwa na vyama vingi kuliko kupoteza resource kuingia kwenye uchaguzi...
  4. H

    Mume wangu kantongoza

    Bombu inaelekea hadithi hii ni ya kutunga na siyo hali halisi iliyotokea. Iweje wewe mke wa mtu na unajua 100% huna mtu mwingine zaidi ya mume wako akutoe nyumbani kwenda eneo la kukutana? Hapa inaonesha kwamba kuna wengine. Hukujiuliza suppose mumeo anakukuta sehemu hiyo wakati hana taarifa za...
  5. H

    Live on TBC: Sherehe za kuwasha mwenge

    Hivi hizi live coverage za TBC1 ni nani anayezilipia kwa shughuli kama hizi za kuwasha mwenge au mikutano ya CCM? TBC wasijishau kwamba wao ni chombo cha taifa kinatakiwa kijiendeshe kibiashara pamoja na kupewa ruzuku na serikali ambayo ni kodi ya wananchi
  6. H

    Imekaaje hii ya James Ole Millya kuteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya?

    Hayo ni majina yanafanana tuu si yule aliyejivua gamba na kuvaa gwanda. Waandishi wa habari walimuuliza PM jana juu ya jina hilo na hayo ndiyo yalikuwa majibu yake. Kama una uhakika kwamba PM kadanganya tena, leta ushahidi hapa.
  7. H

    Jakaya: Tunakupa wiki mbili, la sivyo ujiuzulu.

    Tuko pamoja. Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.
  8. H

    Nimesikitishwa na Watanzania!

    Ukisema "Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii" unataka kutuambia nini? kwamba Lowassa ni makini sana kuliko wana ccm wenzake au serikali ya ccm? sidhani. Bila shaka hayupo nchini maana naamini kabisa angekuwa wa kwanza kufika katika msiba huo kwa malengo ya kisiasa.
  9. H

    Spika, Katibu wa Bunge wampuuza Mnyika kuhusu uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Wanasahau kwamba uchaguzi ule hawakushinda bali walichakachua. Pia wasisahau kwamba baada ya 2015 wao watakuwa chama cha ushindani na kanuni hizohizo kama hazitabadilishwa leo zitawaathiri wao vilevile na wasije kupiga kelele.
  10. H

    (PICHA) Lowassa atua Arumeru kwa kishindo: Chadema waparaganyika

    Hapo hata sheria za usalama barabarabi hazifuatwi. Wasimamizi wa sheria hizo wamefungwa mikono. Upuuzi mtupu!
  11. H

    Waziri Ngeleja asema Dr. Slaa apuuzwe kuhusu utoroshwaji wa madini yetu

    Huyu Ngereja hajui anachokisema. Hana uhakika na anachokisema. Wala hajui kama ndege zinaruka moja kwa moja nje ya nchi. Ni waziri wa namna gani huyu? Hatakufikiri kidogo hawezi? Ni mara ngapi amewashuhudia maofisa wa BOT wakikagua dhahabu JNIA? Je BOT ni wataalam wa dhabu mpaka wakague wao...
  12. H

    CCM yaanza kazi ya kusaka kura ARUMERU

    Ukiona magari ya deraya yanatumika either kuwalinda viongozi au kusuppress umma ujue kwamba uongozi uliopo haukuingia ki halali madarakani. Kiongozi aliyeingia ki halali hawezi kuwa na msururu wa walinzi kwa sababu hana hofu na wananchi waliomchagua. Ukiona vyombo vya ulinzi na usalama...
  13. H

    CCM yaanza kazi ya kusaka kura ARUMERU

    Ukiona magari ya deraya yanatumika either kuwalinda viongozi au kusuppress umma ujue kwamba uongozi uliopo haukuingia ki halali madarakani. Kiongozi aliyeingia ki halali hawezi kuwa na msururu wa walinzi kwa sababu hana hofu na wananchi waliomchagua. Ukiona vyombo vya ulinzi na usalama...
  14. H

    Washili wampa go ahead(Baraka) Joshua Samwel Nassari huko Arumeru....

    Tendwa aje aseme tena maana amekuwa mpiga propaganda wa ccm
Back
Top Bottom