Mume wangu kantongoza

huyu mumeo ni jinga kabisa!
na ingekuwa kweli unapigwa angefanyaje!
vtu vingine si vya kujalibu bwana!

Henge wewe ndo jinga kubwa
Huyo bwana alikuwa sahihi
Alitaka kujuwa wakati yuko
Nje ya nchi mkewe alikuwa na mahusiano au la
na kile kitendo cha mkewe kwenda kukutana naye
kinadhihirisha kuwa mkewe anapigwa na tayari jamaa
ameshapata picha halisi
imebaki kwake kuchukuwa uamuzi

Mkewe alitakiwa akatae kwenda kukutana nae
kwani anaonekana ni kimeo kwa sababu ameshagongwa
na zaidi ya mwanaume mmoja ndo maana hata alishindwa
kujua ni nani amemu-text
 
Dah! Ribosome mbona umekuwa mkali hivyo? Basi ntakulipa kwa kunieleleza, kiswahili kinanisumbua, anyways asante kwa mchango, ntatafuta the right word hapo.

Bombu inaelekea hadithi hii ni ya kutunga na siyo hali halisi iliyotokea. Iweje wewe mke wa mtu na unajua 100% huna mtu mwingine zaidi ya mume wako akutoe nyumbani kwenda eneo la kukutana? Hapa inaonesha kwamba kuna wengine. Hukujiuliza suppose mumeo anakukuta sehemu hiyo wakati hana taarifa za wewe kwenda huko si ungezua jambo lingine? Katika hali ya kawaida hata kama ni mwanaume anatongozwa na mwanamke asiyemfahamu asingeweza kwenda huko. Halafu, ni kweli hujui text za mume wako? Najua utashangaa, lakini kwa mtu wako lazima ungeweza kugundua kuwa huyu ni yeye, why? kila mtu ana lugha anayotumia katika kusema ama kuandika ambayo nina uhakika kabla ya kuingia kwenye ndoa mlikuwa mnawasiliana kwa text au sauti (simu) vitu ambavyo haviendi nje sana ( iwe vocal au maandishi). Anavyozungumza ndivyo anavyotext kama vitapishana ni 20% tu.
Kuwa makini.
 
Last edited by a moderator:
Hivyo nlijitahidi kumkaripia kistaarabu lakini yeye aliendelea kusisitiza kuwa tumekuwa wapenzi kwa muda wote ambao mume wangu alikuwa nje kitu ambacho si cha kweli

wakati mwingine tunajiweka katika mazingira hatarishi sana bila sababu... kwani ungempotezea tu ungepata hasara gani?
 
pole, ndo ujifunze. how comes uende kumit na stranger? je km angekuwa mtu mwenye nia mbaya. me kwa upande wangu ctoweza kwenda kumit na stranger,ht km ananifaham mpk pichu nlovaa leo bt km nina waswas nae i'll never ever! ungempotezea. kiukwel umeonesha udhaifu ktk ndoa yako na nahc mmeo ashapunguza percent flan ya iman kwako!
 
"Mie nkaushtukia mchezo hapo, ila nkasema wacha nione hii movie mwisho wake utakuwaje. Tukapanga hadi kukutana, bahati nzuri sikuwa na papara. ALHADULILAH! mara nafika eneo la tukio ni yeye huyooo!

Nilighafilika kwa kweli, ingawa hisia zangu zishantuma kuwa kama sio yeye basi ameweka watu wanitrace. Hivi ingekukuta wewe mwana JF mwenzangu, ungeliamuaje hili?"

ungekuta sio yeye ni mwingine ungefanyaje? mngeendelea na mipango yenu au.
..
 
Acha kutuzuga bidada.....wangapi wanalea na huku wanabanjuliwa mitaani....na hata maofisini bana....wewe yaonekana utulivu ndani ya ndoa ...below 50%. am so sorry kama utakwazika ila nashawishika kusema hivyo kutokana na maelezo yako.

Wala sijakwazika NGOSWE.120 wewe ndo umerukia hiyo post bila kuielewa. Hapo kwenye kulea nimemjibu Rejao aliyeniuliza nilipotelea wapi. Anyways maoni yako yaweza kuwa sahihi au si sahihi sikulaumu
 
Last edited by a moderator:
Henge wewe ndo jinga kubwa
Huyo bwana alikuwa sahihi
Alitaka kujuwa wakati yuko
Nje ya nchi mkewe alikuwa na mahusiano au la
na kile kitendo cha mkewe kwenda kukutana naye
kinadhihirisha kuwa mkewe anapigwa na tayari jamaa
ameshapata picha halisi
imebaki kwake kuchukuwa uamuzi

Mkewe alitakiwa akatae kwenda kukutana nae
kwani anaonekana ni kimeo kwa sababu ameshagongwa
na zaidi ya mwanaume mmoja ndo maana hata alishindwa
kujua ni nani amemu-text

Lol, hata nimeshindwa cha kusema hapa. Inabidi nicheke tuu
 
Henge wewe ndo jinga kubwa
Huyo bwana alikuwa sahihi
Alitaka kujuwa wakati yuko
Nje ya nchi mkewe alikuwa na mahusiano au la
na kile kitendo cha mkewe kwenda kukutana naye
kinadhihirisha kuwa mkewe anapigwa na tayari jamaa
ameshapata picha halisi
imebaki kwake kuchukuwa uamuzi

Mkewe alitakiwa akatae kwenda kukutana nae
kwani anaonekana ni kimeo kwa sababu ameshagongwa
na zaidi ya mwanaume mmoja ndo maana hata alishindwa
kujua ni nani amemu-text
Lutu2 mkuu umeoa/umeolewa!??
usipende kutafuta matatizo mkuu infact ulikuwa upo mbali hata kama kunawatu walikuwa wanampiga wewe unataka ujue kkwa kazi gani?? Kma wewe ni mkristo na umeolewa unajua kabisa ndoa hizo hazivunjwi na ukweli ni kuwa kama unapendwa, unapendwa tuu usitake kujua mengi! NUAMINI MKEO/MUMEO NA UTAISHI KWA AMANI SANA NA MWISHO JIAMINI MWENYEWE!
 
Last edited by a moderator:
Bombu inaelekea hadithi hii ni ya kutunga na siyo hali halisi iliyotokea. Iweje wewe mke wa mtu na unajua 100% huna mtu mwingine zaidi ya mume wako akutoe nyumbani kwenda eneo la kukutana? Hapa inaonesha kwamba kuna wengine. Hukujiuliza suppose mumeo anakukuta sehemu hiyo wakati hana taarifa za wewe kwenda huko si ungezua jambo lingine? Katika hali ya kawaida hata kama ni mwanaume anatongozwa na mwanamke asiyemfahamu asingeweza kwenda huko. Halafu, ni kweli hujui text za mume wako? Najua utashangaa, lakini kwa mtu wako lazima ungeweza kugundua kuwa huyu ni yeye, why? kila mtu ana lugha anayotumia katika kusema ama kuandika ambayo nina uhakika kabla ya kuingia kwenye ndoa mlikuwa mnawasiliana kwa text au sauti (simu) vitu ambavyo haviendi nje sana ( iwe vocal au maandishi). Anavyozungumza ndivyo anavyotext kama vitapishana ni 20% tu.
Kuwa makini.

@halowane hii sio hadithi ya kutunga ni ukweli hasaa, na sio kwamba nilitokea nyumbani kwenda kuonana na huyo mtu, bali hapo Rose garden ni jirani na ofisini kwangu, naye alijitahidi kuutumia huo mwanya kunipima. Anyways naamini kuwa kama kweli nia yake ilikuwa ni kunipima pengine kwa mawazo yake alifanikiwa. Ila mie pia nilikuwa na lengo lingine kabisa lililopeleka hadi kuchukua uamuzi wa kukutana naye na si ambavyo wengi wanafikiria
 
wakati mwingine tunajiweka katika mazingira hatarishi sana bila sababu... kwani ungempotezea tu ungepata hasara gani?

Ni kweli kabisa hata mie ndo naanza kuyaona madhara ya kujifanya "ngoja nione nini kitatokea"
 
"Mie nkaushtukia mchezo hapo, ila nkasema wacha nione hii movie mwisho wake utakuwaje. Tukapanga hadi kukutana, bahati nzuri sikuwa na papara. ALHADULILAH! mara nafika eneo la tukio ni yeye huyooo!

Nilighafilika kwa kweli, ingawa hisia zangu zishantuma kuwa kama sio yeye basi ameweka watu wanitrace. Hivi ingekukuta wewe mwana JF mwenzangu, ungeliamuaje hili?"

ungekuta sio yeye ni mwingine ungefanyaje? mngeendelea na mipango yenu au.
..

Ningejua hapo hapo kwenye eneo la tukio
 
Kiukweli wote uaminifu wenu are in question! aliyeuza cheni bandia na aliyetoa pesa nae bandia. Yaaani unatuambia ukiitwa kwa simu tu twende kazi au hukuona hatari yeyote kwenda huko. Labda maelezo hayatoshi, yaani jamaa huko alikokuwa alikuwa anachapa deadly na wewe huku vivo hivyo kama tutasoma between lines
 
Mume huyo ***** sana. katika ndoa ni kuomba amani tu sasa ya nini kutegana mambo ya kitoto? Hata cku moja siwezi kujenga mazingira ya kumtega mpenzi wangu, nilichokipenda kwake mwingine akikipenda, - namuachia mwenyewe ndo mwamuzi, akiamua kuwa kicheche basi.
 
Kiukweli wote uaminifu wenu are in question! aliyeuza cheni bandia na aliyetoa pesa nae bandia. Yaaani unatuambia ukiitwa kwa simu tu twende kazi au hukuona hatari yeyote kwenda huko. Labda maelezo hayatoshi, yaani jamaa huko alikokuwa alikuwa anachapa deadly na wewe huku vivo hivyo kama tutasoma between lines

mwanamke wa kuitwa kwa sm na kufunga safari kwenda pasipo kujua nani kamwita ni m.a.l.a.y.a tu!
 
Ningejua hapo hapo kwenye eneo la tukio

....whether to play along a little bit further or not siyo? some people are criminals and they would take the slightest opportunity to harm you... kama ulikuwa na wasiwasi na jamaa na ulitaka ku-find out exactly what he was up to, ni afadhali ungemu-alert mtu mwingine akupe cover (behind the scene) ili in case of any problem uweze kupata msaada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom