Wakuu na-relocate to Mwanza kikazi
Nauza Kitanda na Godoro (5X6). Vipo Dar . Bei TZS 180,000 vyote kwa pamoja. risiti ya godoro na warranty yake vipo
Nimevitumia kwa miezi miwili
Risiti ya kitanda nimei- misplace katika mchakato wa kufungasha mizigo mingine
kuna jamaa alipost thread moja ya misemo mbalimbali moja inasema ukitafuta mke wa kuoa macho yote yawe wazi ukishaoa fumba jicho moja. hawa wanawake ukienda style ya kupiga chini utakuwa na wake dozen nzima kila mmoja atakuja na lake. hapo lazima umtafute huyo mtu umueleze kwa bayana kama ni...
huyo jamaa aliejiingiza kwenye hioyo ndoa 'ashughulikiwe' kwani hata kama wataongea tatizo ni kuzima hisia za huyo jamaa alieiba au kuteka moyo wa huyo mama. cha kwanza apewe strong verbal warning ikishindikana cha pili itafutwe lasting solution once and for all kinyume cha hapo huyumwenye mke...
namba yoyote uki-renew ile ya awali ina-scrumble immediately, ila namba ya siri ndo sijui wanafanyaje lakini katika technology lolote linawezekana. kama software za waisrael hamna ambapo wanashindwa kuingia na kama a wangekuwa wezi hakuna technology yoyote ya kuwazuia kuingia katika mfumo...
partnership ispokuwa leggaly forged wataishia kudhulumiana na kuleteana majambazi , lazima role za kila mmoja ziwe clearly defined , jinsi watakavyogawana faida na jinsi ya kudgibiti na kusimamia lakini wakienda style ya Kuaminiana aminiana ngoma itaWwaka tu iwe isiwe tena itakuwa mbaya sana...
Kilichowaponza precission ni lack of long term strategic planning. wao walipoona wamekuwa superior kwenye market baasi, kwanza mbali ya kuwa huduma zao zilikuwa duni kila kukicha bado pia walishindwa kutengeneza mix nzuri ya capital financing source. yaani operation imekuwa too huge at low...
nchi yetu imedhalilishwa sana kupitiliza, na kibaya zaidi wanakamtiwa nje ya nchi yaani hapa kwetu ni kichochoro ambacho hakiwapi shida kabisa. polisi wanasema wanadhibiti nini wakati ni huyo mmoja walieambulia wa kete 86.
Rwanda nadhani wako vizuri kwenye upelelezi, wa kimataifa na hii hasa inachangiwa na uzarendo wa wananchi wao katika nchi yao, hata uwape nini jamaa akiona issue tu lazima akulipe juu na watu wa juu wako makini sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.