Ukikuta msg hii kwa Mkeo au Mumeo unafanyaje?

Ukikuta msg hii kwa Mkeo au Mumeo unafanyaje?

Nitamuuliza kwenye hiyo game nani alimfunga mwenzie mabao mengi?
 
kuna jamaa alipost thread moja ya misemo mbalimbali moja inasema ukitafuta mke wa kuoa macho yote yawe wazi ukishaoa fumba jicho moja. hawa wanawake ukienda style ya kupiga chini utakuwa na wake dozen nzima kila mmoja atakuja na lake. hapo lazima umtafute huyo mtu umueleze kwa bayana kama ni muelewa ataelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom