Mpenzi wangu nimpendae ni "lesbian". Je, nimuache?

piga chini ila kwanza fanya mpango kwanza umgegede kwnz ndipo umpige chini kupunguza machungu
 
Wana MMU,

Dunia yetu kwa sasa imepata mabadiliko makubwa sana, kiasi cha kusababisha tamaduni na desturi zetu kuathiriwa na mabadiliko hayo.

Sasa ndugu zangu wana MMU katika hali kama hii, jembe nifanye nini?, maana kiukweli ni fedheha kuwa na binti anaetamani wanawake wenzake ingawa nampenda, nifanye nini katika hali kama hii?

kama ulivyosema dunia yetu imepata mabadiliko kweli,, Haiwezekani huku shamba tnahangaikia PEMBEJEO ww jembe ​unaZURURA tu mjini!! Tafadhali JEMBE njoo utusaidie huku shamba tnahangaika...halaf ukiwaona na wenzako waambie tnawatafuta waje watusaidie huku shamba ss tumeanza kuzeeka....
 
Yawezekana haupo nae kwa bahati mbaya, wewe ndie utakae muokoa just Muombe Mungu
 
Kuwa makini,mpaka umbadilishe atakuwa ameshasaga na wifi zake!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kila mtu na raha yake,raha jipe mwenyewe sasa kama kaamua kijipa raha nawe jirahe kivyako mkuu mbona humu kumesheeni vindama tele humu chuku kimoja kazi kwisha.Ila kama bado wampenda na wataka kuwa nae kubali ya kuwa PLAN B ndio inapokuwa na umuhimu hapo.
 
Wana MMU,

Dunia yetu kwa sasa imepata mabadiliko makubwa sana, kiasi cha kusababisha tamaduni na desturi zetu kuathiriwa na mabadiliko hayo.

Ingawa ni maeneo mengi yameathirika kutokana na athari za kiutandawazi, lakini kwenye hii mada ningependa kuzungumzia hawa wanawake "wasagaji" au "lesbian".

Binafsi ni miongoni mwa waathirika wa hayo mabadiliko ya kiutandawazi, kwa kuwa binti ambae nimempenda kwa kipindi cha hivi karibuni ndio michezo yake hiyo (usagaji), hivyo katika mahusiano yetu hapo awali, hali ilikuwa ngumu sana maana hata siku moja HAKUPENDA tuongelee mambo ya ngono (ingawa tayari ameni-sign in).

Licha ya hivyo, mara kwa mara amekuwa akizungumzia sana mabinti wenzake wakati wa mazungumzo yetu, ingawa nimekuwa nikijitahidi sana kumtoa kwenye mazungumzo hayo, ila yeye amekuwa akilazimisha tujadili mambo ya aina hiyo, hali iliyonipelekea nikawaulize hao rafiki zake kuhusu hali halisi ya mpenzi wangu. Majibu yalikuwa kama ambavyo nilitarajia (kuwa demu wangu ni lesbian).

Aidha, ikitokea nimetoka nae "out" kula nae raha kwenye maeneo ya starehe, kila aonapo rafiki zake ni lazima awatathmini kwa ukaribu mpaka watu walioko karibu yake wanatambua ni nini anafanya, mara nyingine uenda mbali zaidi mpaka kugusa wenzake maeneo ya makalio kwa kuwachapa kofi.

Sasa ndugu zangu wana MMU katika hali kama hii, jembe nifanye nini?, maana kiukweli ni fedheha kuwa na binti anaetamani wanawake wenzake ingawa nampenda, nifanye nini katika hali kama hii?
we usimuache mpaka kikwetu tunasema,shinga akugere kichaa cha mthuti ndo umanye kindu.........
 
Jaman mambo mengine hata hayaitaji ushauri..sasa c uko na mwanaume mwenzio au nsemeje..
 
Wana MMU,

Dunia yetu kwa sasa imepata mabadiliko makubwa sana, kiasi cha kusababisha tamaduni na desturi zetu kuathiriwa na mabadiliko hayo.

Ingawa ni maeneo mengi yameathirika kutokana na athari za kiutandawazi, lakini kwenye hii mada ningependa kuzungumzia hawa wanawake "wasagaji" au "lesbian".

Binafsi ni miongoni mwa waathirika wa hayo mabadiliko ya kiutandawazi, kwa kuwa binti ambae nimempenda kwa kipindi cha hivi karibuni ndio michezo yake hiyo (usagaji), hivyo katika mahusiano yetu hapo awali, hali ilikuwa ngumu sana maana hata siku moja HAKUPENDA tuongelee mambo ya ngono (ingawa tayari ameni-sign in).

Licha ya hivyo, mara kwa mara amekuwa akizungumzia sana mabinti wenzake wakati wa mazungumzo yetu, ingawa nimekuwa nikijitahidi sana kumtoa kwenye mazungumzo hayo, ila yeye amekuwa akilazimisha tujadili mambo ya aina hiyo, hali iliyonipelekea nikawaulize hao rafiki zake kuhusu hali halisi ya mpenzi wangu. Majibu yalikuwa kama ambavyo nilitarajia (kuwa demu wangu ni lesbian).

Aidha, ikitokea nimetoka nae "out" kula nae raha kwenye maeneo ya starehe, kila aonapo rafiki zake ni lazima awatathmini kwa ukaribu mpaka watu walioko karibu yake wanatambua ni nini anafanya, mara nyingine uenda mbali zaidi mpaka kugusa wenzake maeneo ya makalio kwa kuwachapa kofi.

Sasa ndugu zangu wana MMU katika hali kama hii, jembe nifanye nini?, maana kiukweli ni fedheha kuwa na binti anaetamani wanawake wenzake ingawa nampenda, nifanye nini katika hali kama hii?

Dah! Balaa! There are still lots of fish in the pond!
 
kama kipima joto cha itv..
Wanaobaka wafungwe?
Jibu ndio,hapana au sijui.
 
Bahati ya threesome hiyo unataka nini tena? lazima kuna siku ataomba aalike rafiki yake.Ulivyo mwoga utakimbia :heh:
 
wanawake wote wanapendezwa na wanawake wazuri zaidi yao ila kwenda mbali na kutengeneza hisia hilo ni suala lingine
 
Bora Kenda shika nenda......!! Kuliko kumi nenda rudi.....!!
 
Umpeleke akaombewe na umpeleke akapate ushauri kutoka kwa wataalamu kama kweli unampenda.

Ila nadhani hakupendi kama umpendavyo wewe maana angeachana na hao wa jinsia ya ke'
 
Aloo una bahati sana wewe. Usimuache ila kuwa nae na open relationship na kama yu-tiyari na mwingi wa hisani basi mwambie alete na demu mwingine mgonge manage-a-trois. Lesbos huwa wanakuwa na mademu bomba sana. Una bahati ya mtende ndugu yangu, dah!
 
Back
Top Bottom