Mkuu unataka kuhamia government sector nina imani wewe ni muadilifu maana sasa hivi hakuna ujanja ujanja tena watu wanakimbia sasa. Anyway ninadhani cheti chako kitakuwa shule ingawa ingajaribu kuwasiliana nao kwanza
Kama huyo mwanamke ni wa pwani baasi ni mkwara tuu mpuuze, lakini kama ni wa ile mikoa ya wababe Mara,Kilimanjaro au Arusha basi chukua taadhari ikiwemo R
Ushauri mzuri lakini ume-generalise kwa asilimia mia kitu ambocho kina exception ninadhani pia unaedheshwa na yaliyokukuta, anyway yote maisha na thanks kwa kutukumbusha.
Achague anachopenda ingawa kama ni kura ningepigia accountancy. Zote ni professionals zinazoishia kwenye CPA(T) kwa uhasibu na CSP kwa procurement, accountancy ina base kubwa ya ajira za kuajiriwa na kujiajiri ukifikia level ya CPA unlike procurement lakini vivyo hivyo upande wa wahitimu watu...
Mimi 49 hii ipo sana hasa kwa sisi wanaume na wakati fulani ndio chanzo cha kukosa uaminifu. Ila cha msingi ni kuoa mtu unayempenda na anayefaa kuwa mke ingawa ni kitendawili kumpata wa sifa zote mbili.
Pole mkuu umenikumbusha the same story ya kudhulumiwa na rafiki wa karibu, kwa sasa mimi ninapotoa ela kwa rafiki au ndugu ninatoa kama sadaka zikirudi sawa zisiporudi sawa. Hapo roho itakuuma zaidi kwa mambo na maneno yatakayotokea baada ya wewe kuchukua hatua wewe ndio utaonekana hujui...
Achana nae atakuumiza, jipe likizo ya mapenzi wakati huo angalia uwezekano wa kumpata Mwanaume ambaye anaendana na wewe, utaenjoy ukipampata aliyetendwa na kuchukia mapenzi alafu wewe kuwa naye karibu muoneshe upendo then mtakuwa wapenzi, alafu pigania ndoa lakini make sure muwe mnaendana ili...
Kaka ahsante sana na hongera hapa umenipa elimu kubwa sana nimefanyia kazi haya maelezo yako, nimejifunza ninaomba unipe elimu kama hii upande wa yahoo email maana sisi wengine si wataalamu wa IT
RATCO nzuri inajitahidi ila hata nusu hawaifikii Ndenjela wahudumu hawako ki professional kama Ndenjela, alafu ninadhani ata form four sidhani kama wamefika kuwawezesha kujua Kingereza na alafu sia active ladies kama wa Ndenjela. Lakini kwa Tanga RATCO ni mkombozi na ni bora kuliko basi lolote...
Naam safi sana kwa picha hapo hakuna cha Dar express wala Ngorika, ninawaombea Mungu wawe na customer care hiyo alafu wapate mabasi mengi wakawatia adabu Arusha, Mwanza na mikoa mingine kama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.