Kioja cha mhudumu wa basi la ngorika:

Kioja cha mhudumu wa basi la ngorika:

Suala la customer care B0NG0 ni taabu tupu!

Siyo kwenye mabus tuu hata ofisi za serikali, cha kushangaza zaidi hata TRA, au Banks unawapelekea kodi na fedha lakini utakavyosota kwenye misururu halafu ole uulize, utajibiwa kama nesi wa mwananyamala hospitali anavyowajibu wazazi!! Hopeless kabisa sisi watanzania
 
Achaneni na majina ndugu zangu!!!!

Yapo makampuni mapya mazuri ajabu nimewahi panda Dar express saa tatu asbh (Benz) kufika arusha saa nne usiku,head lamps haziwaki vizuri yaani hatari tupu ,wadau mlirekebishe!!!!!

Wakati wa kurudi nikapanda Kidia baada ya kishauriwa na tax driver kwa kweli sikujuta,nice bus,mwendo mzuri!!!

Inawezekana majina yamewalevya wamiliki wanajisahau!!!

Mkuu ukisema majina NGORIKA Ina kitu gani kama si UCHAFU tuu!!! Bora hata Dar Express Ina jina. Ngorika naichukia inaendeshwa rough nadhani mwenye kampuni ni muhuni Fulani aliyeajiri wahuni wenzake kwavile tu ana pesa za ushirikina au za wizi.
Ilishawahi kutaka kutuua wana familia tukiwa kwenye gari ndogo tukitokea Dar kwenda Arusha. Driver anaovertake msururu wa Magari kama sita kwenye kilima akiwa hawezi kuona mbele kuna gari inakuja au la! Mungu ndiye aliyetuokoa tulikuwa tuishie pale pale!!
 
Juzi siku ya j’mosi nilikuwa nasafiri kutoka Simanjiro kwenda Mkoa K’njaro.

Nilipomaliza shughuli zangu Moshi nikaamua kwenda Mkoa wa Arusha kwa ndugu ambayo ilinilazimu kupanda basi la kuanzia Moshi au yale mabasi ya Mikoani .

Kwa sababu mabasi ya mikoani hayasimami mara kwa njiani nikaamua kupanda basi la Ngorika na kupata kiti cha mwisho ktk gari hilo.

Hivyo safari ikaanza kwenda Ars basi ilipofika eneo la mailisita Mhudumu wa Kike akafika eneo tulipo akiwa amevaa miwani mkononi amepakata kitabu cha tiketi au risiti na kalamu Akaanza kuandika tiketi na kukikata na kudai na nauli kwa kusema “HAPO WEWE” nilifikiri sana mambo menugi kichwani kuwa huyu mhudumu angalau amefuzu mafunzo VETA ili kufanya kufanya kazi hii muhimu .

Pili kazi inafikirika kuwa na ubavu wa kufokea wateja au abiria hii ilidhihirika pale nilpomuuliza mbona hii tiketi ulionipa haina namba ya usajili wa gari hili nililopanda ,Alichonijibu namba ya nini? Kwani una shida gani mpaka unaniuliza za gari ,kwanza una begi kwenye buti la gari useme litapotea.

Nami nikamjibu kuwa kila binadamu ana jina lake,na magari yanatambulika kwa namba ya usajili.

Ndipo kwa hasira akachukua tiketi yangu akaandika namba ya gari ambayo ni T768- akanikabidhi tiketi nilpoisoma nikagundua kwamba sio namba sahihi ,Nikamuuliza tena mbona namba hii sio sahihi?

Alichonijibu nyie watu Moshi mnasumbua sana unataka nikubebe mgongoni ,name nikamjibu sikufika huku unaonekana kuwa somo la “customer care hukupata”

Mwisho akaniambia kama nimekuudhi sana unaweza kwenda ofisi yetu pale Arusha au soma namba gari hapo nyuma baadae hukishuka kwenye basi hili ,Nikamwambia hata mbele kuna namba za usajili wa gari.

Namba la gari lenyewe ni T768 BKW.

Hitimisho langu kwamba Sumatra & TRA wanalijua jambo hili kuwa magari mengi hayatoi tiketi kwa kwa abiria au wakitoa haikuandikwa namba za usajili kwenye tiketi hizo.

Pia wenye magari mnaajiri wafanyakazi wenye taaluma ya usafirishaji au mnaajiri wapiga debe vituo vya mabasi?Madereva wenu huwa na likizo ya kila mwaka?

Naomba kuwasilisha hoja JF! Angalia tiketi hapo chini.
View attachment 118705
nikuombe samahani san wahusika tupo humu humu jf. Nimelisikia hilo nitalifanyia kazi huwa kuna no zetu kwenye tiketi unaeza kupiga ukaomba kuongea nasi ofisi kuu kabla hujashuka kwenye gari. Nimepeta no ya gari nitafanyia kazi. Ila tusamehe sana ndugu yangu. Ngorika leading other follow. Tupo barabarani kuanzia mwaka 1963 hatutaki tupoteze wateja leo kwa ajili ya mtu mmoja. Usiache kupakia ngoria pakia yeyote.
 
Ni vizuri ukalifanyia kazi heshima ya gari irudi..
 
Kwa route ya Dar Mbeya natoa ushauri wa bure kabisa, mwanaJf yeyote atakayesafiri njia hiyo ajaribu kupanda basi linaitwa NDENJELA , hakika utashangaa na kujiuliza kwanini wanamjali abiria kiasi kile.
Basi linapoondoka pale Ubungo unaweza kujisahau ukadhani upo kwenye ndege, maana utasikia sauti mororo ya mdada ikiwasalimia, kisha wanatoa briefing ya safari yote na kusisitiza kuwa abiria ukiwa na tatizo lolote usisite kumwita mhudumu akusaidie.
Basi kama hilo likija route ya Arusha hakika akina Ngorika, Saibaba, Dar Xpress wote watatafuta vigagura ili wawawekee ndumba lipinduke.

Hili basi watu wengi wanalisifia huduma zake. Inaelekea jamaa wana elimu ya kumjali mteja.
Nasikia hata ukichelewa kuripoti wanakutafuta kwenye simu.
 
Hao Ndenjela ni balaa kwa kutoa huduma nzuri kwa abiria,,,,,,,,,,,nilipanda moja ina dereva wa kike, nilikuwa na amani hadi mwisho wa safari
 
hakuna kitu kabisaa hasa kwa heshima ya abiria....
 
nikuombe samahani san wahusika tupo humu humu jf. Nimelisikia hilo nitalifanyia kazi huwa kuna no zetu kwenye tiketi unaeza kupiga ukaomba kuongea nasi ofisi kuu kabla hujashuka kwenye gari. Nimepeta no ya gari nitafanyia kazi. Ila tusamehe sana ndugu yangu. Ngorika leading other follow. Tupo barabarani kuanzia mwaka 1963 hatutaki tupoteze wateja leo kwa ajili ya mtu mmoja. Usiache kupakia ngoria pakia yeyote.

mnamfidiaje abiria wenu mliyemsababishia usumbufu mkubwa ikiwa pamoja na kumtia majaribuni kutenda kosa la jinai (kumtwanga mangumi huyo mdada) kwa kosa la mhudumu asiyejua kuwa biashara yenu inategemea wateja?
 
Kwa kweli kampuni ya NGORIKA inabidi iangalie wafanyakazi wake, Pole sana inakera na inauzi sana unapokutana na wafanyakazi wabovu kama hao wanajisahau hawajui we are in the free market economy. Kesho wakikosa wateja wanasema wamelogwa kumbe ni customer care mbaya zao na maneno ya dharau yanayoweza kuwakatisha watu tamaa ya kutumia magari yao. Ninaandika hivi kwani umenitonesha kidonda ni asubuhi ya tarehe 19/10/2013 siku ya Jumamosi nilipofika Ubungo muda wa saa 12 kasoro dk 20 nikitafuta basi la kwanza la kwenda Moshi ndani ya booking office yao tuliwakuta kaka na dada mmoja wanakatisha tiketi swali langu kwao lilikuwa ngorika ya kwanza imejaa nikaambiwa bado nikauliza tena ni luxury au basi la kawaida nikaambiwa kuna ngorika 2 zinaondoka saa 12 ya kawaida na luxury nikawaambia ok luxury ni shilingi ngapi nikaambiwa 32000 bila ajizi nililipa kwani nilikuwa sitaki kukosa basi hilo na sikuhitaji kupoteza muda nikaingia ndani kutafuta basi, nililikuta basi na kwa bahati alikuwepo mwana dada mwingine naye akafanya kama mimi akakata basi hilohilo kwa bei hiyohiyo. Eeh bwana yaliyotukuta tulipofika kwenye basi yalinikera sana kwani tulimkuta dada amesimama mlangoni akiwa anakatia watu tiketi tukamuuliza basi linaondoka saa ngapi kwani tumesimaa muda mpaka tunaona ngorika nyingine inaondoka we! we! Sikujua kama tunaongea na mtu mwenye uelewa mbovu akaanza wewe unachotaka ni kuona siti au ni kujua basi linaondoka saa ngapi ww choma ndani usituwekee usiku mwenzangu akamueleza tumeuliza hivyo kwani saa 12 imeshafika na hatuoni dalili yoyote acha wahudumu waanze kumfokea kwa maneno ya ukali nikawaambia hii ni biashara lazima muwe wakweli walitutusi na kutudhalilisha sana niliwatizama wale wahudumu bila kujua nn cha kufanya kaka mmoja akatuambia mmedanganywa hiyo gari inatoka saa 12.30 nikawaambia mnapaswa kuwa wakweli kwa wateja wenu ila huyu dada ambaye ana mwili wa kati na nywele amenyoa akiwa amepaka lipshine nyingi mdomoni na kaka mmoja walikuwa kama vichaa. Kioja ni hiyo gari wanayoiita luxury si kweli hata city belt hakuna ni gari namba 1767 BKW ndani ya gari tukagundua abiria wamekatiwa tiketi 25000 jirani yangu alinishangaa na kwa vile walikuwa wameshanichafua ilibidi nikae kimya nikiwa na maamuzi mimi kupanda Ngorika marufuku hata nikikwama porini kwa bahati aliibuka dada mmoja ndani ya gari akihoji kwanini ametozwa sh 32000 wakati walio wengi wametozwa 25000 wakati anahoji hayo yote kwa mwanadada mwingine ambaye ndiye hutembea na gari nilimwonea huruma nikasema ngoja huyu dada mkata tiketi amsikie ataonja kauli za dharau mpaka atajuta na ndiyo yaliyomkuta aliambiwa acha kuchezea riziki za watu kwahiyo unataka tukale wapi kilichofuata waliamua kumshusha kwani aliwaambia nakwenda kuwaambia SUMATRA akaambiwa ngoja tukuitie ili ujue hatuwaogopi nao ni watu kama sisi.
Napenda kuwashauri wamiliki wa mabasi kuwafuatilia waajiri wao na kwa hili nipo tayari kulitolea ushahidi utakapohitajika nilitamani nimjue mkurugenzi wa magari haya nimweleze nini kinaendelea kwani nina hakika hamna mtu anayependa kuona biashara yake inaharibiwa hivi. Poleni sana wahanga wenzangu wa NGORIKA

nione !!
 
Kwa route ya Dar Mbeya natoa ushauri wa bure kabisa, mwanaJf yeyote atakayesafiri njia hiyo ajaribu kupanda basi linaitwa NDENJELA , hakika utashangaa na kujiuliza kwanini wanamjali abiria kiasi kile.
Basi linapoondoka pale Ubungo unaweza kujisahau ukadhani upo kwenye ndege, maana utasikia sauti mororo ya mdada ikiwasalimia, kisha wanatoa briefing ya safari yote na kusisitiza kuwa abiria ukiwa na tatizo lolote usisite kumwita mhudumu akusaidie.
Basi kama hilo likija route ya Arusha hakika akina Ngorika, Saibaba, Dar Xpress wote watatafuta vigagura ili wawawekee ndumba lipinduke.

Ndenjela liko vizuri aisee. Nmepanda J3 nikitokea Mbeya, nlikua nataka majina kama Green Star au New Force lakini kaka yangu akaniambia kwa Mbeya Ndenjela ndo habari ya mjini. Wala ckujutia pesa yangu kwa jinsi tulivyohudumiwa fresh na yule konda mdada aliependeza.
 
Yaani mkuu ninakuunga mkono asilimia mia nimetembea mikoa mingi kwa usafiri wa aina mbalimbali sijawahi kutana na customer care kama ya Ndenjela bus, wako sawa sana kwa customer care utasema kwenye ndege, on top of that wana tangaza kwa kingereza na kiswahili pia wana dereva wakike kwenye basi mojawapo yuko very competent.

Hili basi watu wengi wanalisifia huduma zake. Inaelekea jamaa wana elimu ya kumjali mteja.
Nasikia hata ukichelewa kuripoti wanakutafuta kwenye simu.
.
Jamaa ameajiri wadada wasomi na wanatema lugha iliyonyooka, na wana heshima sana, hakuna abiria anayedharaulika!

Ndenjela ni noma,, wale wakinga wanaiomiliki wamejipanga sawa sawa
Mkuu, Wanaoimiliki sio Wakinga, ni Wasafwa!

Hao Ndenjela ni balaa kwa kutoa huduma nzuri kwa abiria,,,,,,,,,,,nilipanda moja ina dereva wa kike, nilikuwa na amani hadi mwisho wa safari
.
Na always wana madereva wawili!....Mwanzo wa safari wote wawili wanatambulishwa kwa majina, na mnaambiwa kuwa mtasimama kwaajili ya chakula wapi na wapi! wako makini sana, sijajua wanajifunzia wapi huduma yao, maana iko unique!

Hebu cheki hiyo maneno. Hiyo ndio Ndenjela!
IMG_5850.JPG

Ona Staff wa basi walivyo nadhifu!
IMG_5843.JPG

Abiria wakifurahia huduma bora kabisa za Ndenjela!
IMG_5280.JPG

Ndenjela Bus!
IMG_5851.JPG
 
Halafu hivyo vidada sijui huwa wanaviokotea wapi! vina nyodo,vina majibu ya kunya,kuna siku kidogo nikakunje kamoja kwenye basi la mombasa raha from mwanza abiria wakanituliza,kengine nako kaliaibika siku moja tukitokea musoma kwani walipanda wazungu 4 wasiojua kiswahili,wale wazungu walikuwa wakikauliza maswali khs safari hiyo kakabaki kametumbua tu mimacho yake mibaya,ikabidi abiria tunaojua kimombo tutoe msaada!
 
.
Jamaa ameajiri wadada wasomi na wanatema lugha iliyonyooka, na wana heshima sana, hakuna abiria anayedharaulika!

Mkuu, Wanaoimiliki sio Wakinga, ni Wasafwa!

.
Na always wana madereva wawili!....Mwanzo wa safari wote wawili wanatambulishwa kwa majina, na mnaambiwa kuwa mtasimama kwaajili ya chakula wapi na wapi! wako makini sana, sijajua wanajifunzia wapi huduma yao, maana iko unique!

Hebu cheki hiyo maneno. Hiyo ndio Ndenjela!
IMG_5850.JPG

Ona Staff wa basi walivyo nadhifu!
IMG_5843.JPG

Abiria wakifurahia huduma bora kabisa za Ndenjela!
IMG_5280.JPG

Ndenjela Bus!
IMG_5851.JPG

Ubungo wapo ofisi namba ngapi? Ikiwezekana weka na number zao za simu.
 
Naam safi sana kwa picha hapo hakuna cha Dar express wala Ngorika, ninawaombea Mungu wawe na customer care hiyo alafu wapate mabasi mengi wakawatia adabu Arusha, Mwanza na mikoa mingine kama
.
Jamaa ameajiri wadada wasomi na wanatema lugha iliyonyooka, na wana heshima sana, hakuna abiria anayedharaulika!

Mkuu, Wanaoimiliki sio Wakinga, ni Wasafwa!

.
Na always wana madereva wawili!....Mwanzo wa safari wote wawili wanatambulishwa kwa majina, na mnaambiwa kuwa mtasimama kwaajili ya chakula wapi na wapi! wako makini sana, sijajua wanajifunzia wapi huduma yao, maana iko unique!

Hebu cheki hiyo maneno. Hiyo ndio Ndenjela!
IMG_5850.JPG

Ona Staff wa basi walivyo nadhifu!
IMG_5843.JPG

Abiria wakifurahia huduma bora kabisa za Ndenjela!
IMG_5280.JPG

Ndenjela Bus!
IMG_5851.JPG
 
.
Jamaa ameajiri wadada wasomi na wanatema lugha iliyonyooka, na wana heshima sana, hakuna abiria anayedharaulika!

Mkuu, Wanaoimiliki sio Wakinga, ni Wasafwa!

.
Na always wana madereva wawili!....Mwanzo wa safari wote wawili wanatambulishwa kwa majina, na mnaambiwa kuwa mtasimama kwaajili ya chakula wapi na wapi! wako makini sana, sijajua wanajifunzia wapi huduma yao, maana iko unique!

Hebu cheki hiyo maneno. Hiyo ndio Ndenjela!
IMG_5850.JPG

Ona Staff wa basi walivyo nadhifu!
IMG_5843.JPG

Abiria wakifurahia huduma bora kabisa za Ndenjela!
IMG_5280.JPG

Ndenjela Bus!
IMG_5851.JPG

Watakuja lini njia ya Moshi/Arusha kwenda Dar !
 
Wiki iliyopita, ilikuwa jumanne, nilipanda gari la RATCO kutoka Dar hadi Muheza. Nilihudumiwa vizuri. Jioni ya siku hiyo hiyo, saa 10:30 jioni nikapanda tena RATCO kurejea Dar. Nikiri kuwa hili gari la jioni nilihudumiwa vizuri zaidi. Kiyoyozi safari nzima. Kilichonivutia zaidi ni moyo wa uungwana aliouonyesha mhudumu (kondakta?) wa basi hilo. Ni mweupe, mwembamba. Nilimuomba tukifika Mkata nipate 'mchuzi' wa mbuzi. Yule dada hakufanya hiana. Akanitaka tukishakaribia, nimkumbushe. Kweli, tulipokaribia nilimkumbusha. Wakati huo nilishamweleza jamaa yangu muuza 'mchuzi' awe tayari. Kilichofanywa ni dereva kushika breki na mimi nikakabidhiwa 'mchuzi' wangu kwa raha mustarehe kabisa. Kwa ukarimu huo, sidhani kama kampuni nyingine zaidi ya RATCO zitakuwa na fursa ya kunitambua kama abiria wao.
 
Kwa route ya Dar Mbeya natoa ushauri wa bure kabisa, mwanaJf yeyote atakayesafiri njia hiyo ajaribu kupanda basi linaitwa NDENJELA , hakika utashangaa na kujiuliza kwanini wanamjali abiria kiasi kile.
Basi linapoondoka pale Ubungo unaweza kujisahau ukadhani upo kwenye ndege, maana utasikia sauti mororo ya mdada ikiwasalimia, kisha wanatoa briefing ya safari yote na kusisitiza kuwa abiria ukiwa na tatizo lolote usisite kumwita mhudumu akusaidie.
Basi kama hilo likija route ya Arusha hakika akina Ngorika, Saibaba, Dar Xpress wote watatafuta vigagura ili wawawekee ndumba lipinduke.
sasa upande ile NDENJELA inayoendeshwa na mdada you will love it period!!
mdada ana heshima kwa abiria hadi raha, yaani yule hata mumewe pale kapata mke mwenye nidhamu, hana spidi na ova teki za ajabu ajabu, gari ni safi na huduma ni zile classic, uzuri zaid ni kwamba kila kituo unapewa habari za kituo na kama una mtoto wao ndio wanao mhudumia mwanzo mwisho............

sasa logwa panda gari ina itwa MAJINJAH!! LILE hata waya halina yaani breki hakuna spidi zake ubwabwa wote wa kitonga unautapika IYOVI.....................

sijui SUMATRA wanachukuliaje hili
 
IMG_5850.JPG

Nimeipenda hii ya mdada anasuka ungo kwa makini sana, hongera dada.

huyu ni dereva wa NDEJELA jamani hii gari ni nzuri kupanda usipime utafikiri uko sijui kwenye ndege ama kwenye hoteli fulan nzuri kwa huduma zao
 
Back
Top Bottom