Recent content by Hern

  1. H

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Asante Mungu,asante Ontario kwa uzi huu! Eeh Kristo Yesu uutangulie uzi huu na mafunzo yake uwe na manufaa mbele zako.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

    Kuna mafuta flani kama cream hivi(rangi nyekundu) yanatengenezwa Mbeya kwa matunda,siijui jina. Ni nzuri sana kwa tatizo hilo. Mdogo wangu alitumia kama utani,tatizo likaisha. Mara nyingi inatangazwa kwenye mabasi. Watu wa Mbeya watusaidie jina.
  3. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

    Hongera rubii
  4. H

    JamiiForums Tanzania Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

    Uongo mtupu! Nimeshajaribu huo udongo wenu,hamna lolote.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Wabaya wa 'chorus' bongo

    Baraka de prince
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Umoja wa Mataifa(UN) hauna Mwenyekiti bali Katibu Mkuu?

    Kuna mtu aliniuliza swali hili siku flani hivi nikashindwa,then akaniambia ni Papa (Pope) wa Vatican eti.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nani malkia wa nguvu JF

    Rubii
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mwanamke maarufu mrembo kuliko wote Tanzania

    Daah! Sasa kama akina Wema mnawasifia,huyu je? Akili yangu imeganda hapa mimi.
  9. H

    JamiiForums Tanzania 2017 Afcon Final - Egypt vs Cameroon. Cameroon wamechukua ubingwa kwa kushinda kwa magoli 2-1

    Asante Cameroon. Tumeshinda Waafrika!
  10. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Nakomaa[color/]
  11. H

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    [/color]
  12. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    JamiiForums ni zaidi ya chuo kikuu[/color ]
  13. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu mitihani ya CPA Tanzania

    Masomo gani hayo atakayofanya?
  14. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu mitihani ya CPA Tanzania

    Habari wakuu! Katika mitihani ya Board ya wahasibu na wakaguzi(Syllabus mpya) inasemekana kuna exemption ya kutokufanya baadhi ya masomo kama ulishawahi kufanya mitihani hiyo kabla ya syllabus mpya. Ni kweli kuhusu hilo? Na kama exemption ipo,utakayotakiwa kuyafanya ni masomo gani? Naomba...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Calisah azidi kuvujisha picha za Wema

    Duuh jaman! Idris njoo huku uone [emoji87]
Back
Top Bottom