Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Leo ndo naona huu uzi. Ninahitaji huu udongo kwa ajili ya rafiki yangu anapoteza nywele za mbele. Je unaweza kupeleka nyumbani kwa mtu halafu ukalipwa kama yupo Dar? Nikijua ni kiasi gani naomba unipm ili tuelekezane. Nashukuru.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Je clay soil kama ile ya Dead sea inaweza kusaidia kama hiyo ya kwako?
 
Asante kwa hii post nitakuja kununua nimeona namba za simu Nitakwenda kuliko karibu.... je ipo katika ujazo gani? Bei ikoje? Samahani kama ulishajibu haya maswali sijaweza kupitia kila comment

Ipo kwenye mikebe ya gram 100 kwa Dar kwa sasa piga Piga 0622042778 au 0788782153
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wadau, napenda kuwafahamisha kuwa namba nyingi tulizoweka humu kwa sasa hazitumiki, ili upate namba mpya za sehemu uliyopo na maelekezo zaidi, unaweza kutuma whatsapp 0625249605.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
mkuu kuhusu picha hata mm nina mashaka,ile ya juu ana ndevu zinaonekana kabisa!masikio pia ni tofauti,hebu weka evidence nyingine nikuletee wateja 10 fasta

Hatuna sababu ya kudanganya kwa picha.

Wateja walete wajaribu na kujionea wenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Uongo mtupu! Nimeshajaribu huo udongo wenu,hamna lolote.

Huo ni usongo.

Kama haujakufaa tatizo lako tunasema "money back guarantee, no questions asked".

Njoo tukurudishie pesa zako.

Tungefurahi zaidi utueleze ulitumia kwa sababu zipi na uliutumia vipi na kwa muda gani? Hii ni "optional" ukipenda uelezee kwa faida ya wengi.
 
Leo ndo naona huu uzi. Ninahitaji huu udongo kwa ajili ya rafiki yangu anapoteza nywele za mbele. Je unaweza kupeleka nyumbani kwa mtu halafu ukalipwa kama yupo Dar? Nikijua ni kiasi gani naomba unipm ili tuelekezane. Nashukuru.

Dar kuna wakala, unamtumia pesa ya bidhaa na nauli, anauza mkebe mmoja wa gram 100 shillingi 5,000, anampa kijana wake anakuletea ulipo. (Home delivery service).

Piga 0622042778 au 0788782153.
 
Je clay soil kama ile ya Dead sea inaweza kusaidia kama hiyo ya kwako?

Nimewahi kuiona na kuisoma hiyo clay ya dead sea.

Ninachoweza kukwambia, hii clay yetu imeonesha mafanikio makubwa sana kwa matatizo yote ya ngozi. Inatibu mapele, fungus, mba, utangotango, moto, chunusi, vidonda sugu, sugu na mipasuko ya miguu, kukatika kucha, fungus za vidole.

Na zaidi ya hapo ni mzuri sana kwa kufanyia facial na scrubbing, inasafisha mwili wote, inatibu kikwapa, inazuia kukatika kwa nywele, inaotesha nywele mpya kwa haraka, inafanya ngozi mwilini na usoni kuwa nyororo. Na mengi mengine.

Hivi karibuni tunakuja na sabuni zake ambazo tupo mbioni kuzifanyia majaribio.
 
Nimewahi kuiona na kuisoma hiyo clay ya dead sea.

Ninachoweza kukwambia, hii clay yetu imeonesha mafanikio makubwa sana kwa matatizo yote ya ngozi. Inatibu mapele, fungus, mba, utangotango, moto, chunusi, vidonda sugu, sugu na mipasuko ya miguu, kukatika kucha, fungus za vidole.

Na zaidi ya hapo ni mzuri sana kwa kufanyia facial na scrubbing, inasafisha mwili wote, inatibu kikwapa, inazuia kukatika kwa nywele, inaotesha nywele mpya kwa haraka, inafanya nozi ngozi mwilini na usoni kuwa nyororo. Na mengi mengine.

Hivi karibuni tunakuja na sabuni zake ambazo tupo mbioni kuzifanyia majaribio.
Nashukuru kwa maelezo. Ninachoomba ni kunipa gharama sababu nataka kufanya surprise na hivi nipo mbali na nyumbani nataka nimtumie mtu akalipe lakini inabidi nijue kiasi gani ili nipange naye. Naomba unipm bei na mimi nikuelezee pakudrop mzigo.
 
Ukinunua kwetu ni 3,500 kwa mkebe (tupo Kibaha, mkoa wa pwani). Ukinunua kwa mawakala hapo Dar ni 5,000 kwa mkebe na unalipia usafirikama utataka home delivery. Piga 0622042778 au 0788782153 kwa Dar.
 
Ukinunua kwetu ni 3,500 kwa mkebe (tupo Kibaha, mkoa wa pwani). Ukinunua kwa mawakala hapo Dar ni 5,000 kwa mkebe na unalipia usafirikama utataka home delivery. Piga 0622042778 au 0788782153 kwa Dar.
Nashukuru nitawasiliana na ndugu waliopo huko Dar. Kibaha sehemu ipi nini watu wangu wapo picha ya ndege pale.
 
Nashukuru nitawasiliana na ndugu waliopo huko Dar. Kibaha sehemu ipi nini watu wangu wapo picha ya ndege pale.

Si mbali sana na picha ya ndege, tupo Misugusugu, mtaa wa Vitendo, unaingilia Misugusugu shule ya msingi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom