Kwanini Umoja wa Mataifa(UN) hauna Mwenyekiti bali Katibu Mkuu?

Mwenyekiti mara nyingi ni mtu wa kuweka long term vision, Katibu Mkuu ni mtendaji zaidi.

Mfumo wa UN umemfanya Katibu Mkuu kuwa mtendaji zaidi. Ndiyo maana umeona Guterez anahangaika kwenda Somalia juzi na kuja kuongea na Balozi Mahiga kuhusu kuiepusha Somalia na balaa la njaa.
 
Screenshot_2017-03-29-20-44-27.png


Wikipedia
 
Kuna mtu aliniuliza swali hili siku flani hivi nikashindwa,then akaniambia ni Papa (Pope) wa Vatican eti.
 
Acha uvivu ndugu uki google unapata huyo Mwenyekiti au President ambaye anachaguliwa na kuchair UN General Assembly, huchaguliwa kila baada ya mwaka mmoja.
Aliyepo alichaguliwa September 2016.
 
Back
Top Bottom