Hapo ni akili ilitumika. Na tabia nzuri ya kumanage fedha. mwingine ukipata kidogo mpaka ziishe ndio unatulia, kwa tabia hizo hutoboi mpaka yesu anarudi.
Kulikuwa na namna nzuri tu ya kuwataka wanafuzni wake wasome mkoani, hii ya kucretise kiongozi mwenzio hadharani nadhani nni ulevi wa madaraka and lack of diplomatic presentation.
a
Acha uchochezi, hujaonyesha chanzo cha ramani hizo mbili ulizotuwekea. pia practicability ya mpaka ni shughuli za kiuchumi za nchi. practice haionyeshi kuwa we are restricted that much beyond as you have just shown. acha uchochezi.
kama nimeelewa ulihitaji 20000/ mpaka 40000
ulitaka tuchangie vipi kuwa anakutaka ndio maana hadai, kuna viumbe considerate kwa matatizo yawatu tmiza wajibu na usimkwaze rudisha fedha, hata kwa miamala ya simu kama unaona aibu kukutana nae.
Kuongeza dependency chain na kuwa na kundi kubwa la wenye uhitaji wa mambo basic kwenye maisha. Feeding an hungry man with just little food ili asife, lakini asifanye kazi ya maana. otherwise haieleweki karibu miaka 60 ya uhuru tunaimba wimbo uleule.
Ni kweli kitu kinachitufanya kulima au kufanya biashara katika scale ndogo ni MTAJI. mtu mwenye taji mdogo ni vizuri kulima, pia ukiwa na muda. ukiwa na mtaji mkubwa na usimamizi thabiti pamoja na ushauri wa kitaalamu kilimo hakikutupi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.