Kilimo gani kina asilimia kubwa ya kufanikiwa?

manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
19,257
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
19,257 2,000
Mkuu kumbuka mimi ID yangu ilikuwa inasomeka "maskini wa jf" .... Nimebadilisha jina tuu baada ya kupata kamtaji ka milioni moja(joking)..

Hapo namaanisha nina kiasi kidogo cha fedha na kitu unachojaribu kuniambia yani sina idea kabisa.. Alafu mtaji unahitajika wa kutosha..

... Kabla sijasahau ... Kuhusu izo hoho zinalimwa maeneo ya wapi? Na inaweza kuni-cost shilingi ngapi kwa ekari moja?

ohh nakukumbuka...bwana naomba nikishauri kama ndugu yang wa damu..! taffuta eneo sokoni hapo ulipo nenda kahama kachukue mchele uza! au chukua karanga/maharage kwa wingi kias uza ndugu yangu! maana najua huna idea yyt ..! mm nilianza kilimo nnilikua nna idea zaidi ya 99% coz dingilai kasomea kilimo na anapractice kilimo had leo hii...sijui ni zao gan hom hatujawah lima kianzia njegerr hoho nyanya ki5unguu kabeji na makolombwezo yanayokubali sehem za baridi!

ionee huruma hyo 1m ndugu yangu..!unawezA wekaza 1m ukaja uza hoho zako ukapata 400k!masoko hayatabiriki kbs..leo mwenzako atauza kiroba kwa 60 kwesho kitadrop mbaya!achana na kulima mtaji wako mduchu!

pita na sample ya mchele (mfano umeamua kuuza mchele)zunguka nayo maofisini upak kilo 1,2,5! kuna ile mifuko ya nailon..kopesha na uza kwa reja reja!

La mwisho kbs bora ufungue GENGE LENYE KILA KITU
 
Bella Ciao

Bella Ciao

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Messages
452
Points
1,000
Bella Ciao

Bella Ciao

JF-Expert Member
Joined May 28, 2019
452 1,000

Mkuu ngoja nifanye upembuzi yakinifu kuhusu hiyo ya kutoa mchele kahama..

Hiyo ya genge sitaweza

Nashukuru sana mkuu
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
19,257
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
19,257 2,000
Mkuu ngoja nifanye upembuzi yakinifu kuhusu hiyo ya kutoa mchele kahama..

Hiyo ya genge sitaweza

Nashukuru sana mkuu

Haki tuna safari ndefu sana.y usiweze..duh..mchaga gan ww unaona aibu kuifata pesa!haya all the best
 
Bella Ciao

Bella Ciao

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Messages
452
Points
1,000
Bella Ciao

Bella Ciao

JF-Expert Member
Joined May 28, 2019
452 1,000
Haki tuna safari ndefu sana.y usiweze..duh..mchaga gan ww unaona aibu kuifata pesa!haya all the best
Mkuu sasaivi nipo moshi biashara ya genge sio kama uko ulipo...

Genge si unamaanisha kibanda cha kuuza vitu vitu..
 
joely sandu

joely sandu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Messages
2,020
Points
2,000
joely sandu

joely sandu

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2017
2,020 2,000
Huuu ushauri mzuri aufate aachane na kilimo ni gharama afu hakitabiliki masoko yake asije lia hapa
ohh nakukumbuka...bwana naomba nikishauri kama ndugu yang wa damu..! taffuta eneo sokoni hapo ulipo nenda kahama kachukue mchele uza! au chukua karanga/maharage kwa wingi kias uza ndugu yangu! maana najua huna idea yyt ..! mm nilianza kilimo nnilikua nna idea zaidi ya 99% coz dingilai kasomea kilimo na anapractice kilimo had leo hii...sijui ni zao gan hom hatujawah lima kianzia njegerr hoho nyanya ki5unguu kabeji na makolombwezo yanayokubali sehem za baridi!
ionee huruma hyo 1m ndugu yangu..!unawezA wekaza 1m ukaja uza hoho zako ukapata 400k!masoko hayatabiriki kbs..leo mwenzako atauza kiroba kwa 60 kwesho kitadrop mbaya!achana na kulima mtaji wako mduchu!
pita na sample ya mchele (mfano umeamua kuuza mchele)zunguka nayo maofisini upak kilo 1,2,5! kuna ile mifuko ya nailon..kopesha na uza kwa reja reja!
La mwisho kbs bora ufungue GENGE LENYE KILA KITU
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
16,359
Points
2,000
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
16,359 2,000
Kila kilimo kinalipa cha msingi ni kujipanga tu.
 
mtena

mtena

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
1,809
Points
2,000
mtena

mtena

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
1,809 2,000
Hapo kwenye tangawizi... inalimwa maeneo gani? Gharama zake je? Vipi kuhusu soko?
Tangawizi IPO sana kigoma wilya ya buhigwe sehemu inaitwa munzenze

Hazina soko tangu zikatanzwe kwenda nje na wateja walikuwa ni waganda so wabongo wamebakia kuwalalia wakulima tu kwa kg 1 =300-700 ila wanganda walikuwa wananunua kg 1000-1600

Tangawizi zinakomaa ndani ya miezi 6-8 ukizihudumia vizuri

Japo kilomo cha jembe LA mkono na kutegemea mvua hakijawahi kumtoa mkulima tangu dunia imeubwa
 
Bella Ciao

Bella Ciao

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Messages
452
Points
1,000
Bella Ciao

Bella Ciao

JF-Expert Member
Joined May 28, 2019
452 1,000
Tangawizi IPO sana kigoma wilya ya buhigwe sehemu inaitwa munzenze

Hazina soko tangu zikatanzwe kwenda nje na wateja walikuwa ni waganda so wabongo wamebakia kuwalalia wakulima tu kwa kg 1 =300-700 ila wanganda walikuwa wananunua kg 1000-1600

Tangawizi zinakomaa ndani ya miezi 6-8 ukizihudumia vizuri

Japo kilomo cha jembe LA mkono na kutegemea mvua hakijawahi kumtoa mkulima tangu dunia imeubwa
Asante mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,335,231
Members 512,275
Posts 32,499,597
Top