Zanzibar 2020 CCM Zanzibar kama ni kweli mmependekeza iwe hivi basi mnaenda kutengeneza Makundi na Mpasuko baina yenu

vposterior

JF-Expert Member
Jul 19, 2018
734
1,000
Huyo mgombea wa CCM atakuwa makamo wa kwanza wa Rais. Mara hii hakuna kugoma wala kudai haki kwa mataifa ya nje ni huko huko Zanzibar, afe kipa afe beki. ENOUGH is ENOUGH.
 

bhachu

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
6,625
2,000
Wazanzibar wamewekwa mfukoni na Tanganyika, wanaamuriwa raisi pale Dodoma
 

Alphonce Kagezi

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
304
250
Mpasuko Zanzibar ukitokea CCM tufahamu kuwa watakaoleta makundi basi watakuwa na mtazamo wa ubinafsi wa lao ndilo lazima liwe wakati sio sahihi kuwa na mtazamo wa aina huyo.

Tukumbuke mnaweza kuomba ridhaa wengi ili mmoja wenu awe ndie. Basi ni vema wa tia nia wote nia zao wachukulie kama kucheza kamali pata /potea na unakuwa tayali kukubaliana na matokeo cha msingi haki uwazi vichukuwe nafasi Mwiko corruption's
 

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,469
2,000
Hakuna aliyewahi kupata kura zaidi ya Maalim. Mambo yatafanywa Kijecha Jecha tu.
Safari hii punda afe mzigo ufike. Maalim haibiwi hata kura moja ndio kiapo cha Wazenji. Na kama jiwe atarudia makosa ya Ben ya 2001 ya kujifanya mbabe na kuwapeleka vijana wa Vincent basi wanaccm wajiandae kuwa wanaenda kumsalimia weekend kule The Hague.

Uzuri wa The Hague hakuna kupeleka sabuni na dawa ya mswaki kama Segerea, huduma zote atakuwa anapewa hivyo kuwapunguzia usumbufu.
 

Hawaki

JF-Expert Member
Mar 29, 2017
535
1,000
Nadhani kuwa mtoto wa aliyewahi kuwa kiongozi si hoja ya kumkataa mtu. Kumbukeni nyie mlioko viongozi leo na kuzuia watoto wa watangulizi wenu wasiwe viongozi mtakutana na dhambi hiyohiyo. Mwenye nguvu na watu na apite tu bila kuwa na majina ya mfukoni. Mbona waafrika hawajifunzi kupitia historia?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom